Wanawake bhana! Nilimkopesha 30k, kuomba anirudishie kanigeuza adui

Wanawake bhana! Nilimkopesha 30k, kuomba anirudishie kanigeuza adui

Mimi sikopeshi uwa natoa bure kama anachokiomba ninacho.

Nilishachoka kufuatilia madeni, siwezi kopesha tena.
 
Sasa hivi sio wakati wa kukopesha utapoteza pesa yako. Mimi kuna mwanaume alikuja kukopa mwezi wa 6 akasema atarudisha baada ya week moja. Ukakatika mwezi kila siku analeta stori mara ana dharula sijui kuuugiwa nikawa mpole. Imefika mpaka mwezi huu wa tisa bado analeta stori ikabidi niombe mtu akanisaidie kudai ME mwenzake ndio ameanza kulipa kidogo kidogo.

Funzo ni sio kwamba hakuwa na hela ila alijua mwanamke siwezi mfanya chochote hata asiponilipa. Usikopeshe hela ambayo unajua haupo tayari kuipoteza fanya unatoa sadaka hasa hasa kwa jinsia tofauti.
 
sio kila mwanamke ni mjinga mjinga mi hata jero nakurudishia sinaga tabia hizo
 
Wengi akili zao utaomba mbususu mmalizane.

Niliwahi fanya biashara ya kukopesha kwa riba, akija mteja wa kike ajisogeza, anakuwekea mazingira utongoze tu mkopo ugeuke HUDUMA 😂
 
Angalau wewe amekurudishia! Mwingine anakupa choice,ya aidha akupe unyumba au usamehe.
 
Ngoja nitoe kisa kimoja, mi si mtu wa kujiombelesha ovyo kwa wanaume,, ila kuna mbaba mmoja alianza tabia za kunitongoza, kiustaarabu lakini nikachomoa,, hakuchoka akaendelea kuchombeza vijimaneno,, mara kila asbh anitumie picha za good morning na goodnight Yani gallery ikajaa picha zake za maua maua😅😅 ikawa inanikera mnooo kumblock sikutaka maana mpk Sasa nimeshablock mbuzi nyingi sana,

Basi siku moja nikaamua kumuomba anikopeshe kiasi kidogo tu cha pesa hakukawia akaituma, Nilifanya hivyo ili badala ya kunitumia picha za maua na ujinga wake walau sasa atume text za kudai hela yake, baada ya muda km miezi 2 ndo kilichotokea akaanza kudai hela akaachana na maua,,mpk Sasa karibia mwaka sijamlipa na wala sitomlipa, walau najibu na sms zake za madai kuliko mautopolo aliyokuwa anatuma, mshamba kabisa yule, kila siku sms za kipuuzi halafu sijibu na hajishtukii anatuma tuuuuuuuu,, fyaaaaaaaa

Kwahiyo mara nyingine kujikopesha kwenu huwa Ni mbinu ya kuwafukuza mkafie huko na mlivyo na mavichwa mazito hamuelewi,,
 
Back
Top Bottom