Wanawake bhana! Nilimkopesha 30k, kuomba anirudishie kanigeuza adui

Wanawake bhana! Nilimkopesha 30k, kuomba anirudishie kanigeuza adui

Wee nawe kwan wewe hukutani na watu wa hovyo mtaani kwako? Ina mana wewe watu wote unaenda nao sawa? Acha hizo basi hapa ni kwa sababu tunawazungumzia watu walionizingua lakini kuna watu wema ninao tena wengi tu.
Anajifanya baba ushauri,wakati Yeye mwenyewe anataka akukope na kukukojolea bure....alisema anaokutana nao wanamkimbia Kwa ukibamia tu
 
Me nshasema kuanzila sasa sikopeshi hela
Heri nkupe au nkunyime
 
Back
Top Bottom