Wanawake bhana! Nilimkopesha 30k, kuomba anirudishie kanigeuza adui

Imewahi kunikuta,sio Mara 1 au Mara 2.
Kwasasa Biashara ya Kukopeshana na wanawake naenda Nayo kwa tahadhali sana.
Kuna dada mmoja workmate alikopa 3M. Alikuwa na shughuli yake flani ya muhimu ila bajeti ikawa haikai. Ilikuwa March akaahidi kulipa end of April

Hajalipa hadi leo. Sad thing is najua anapata hela tena zaidi ya M7 monthly ila kulipa deni inakuwa ngumu

Sijui akili zao zipoje?
 
Jaribu uende umkope 3 M, akikupa ndio unakuwa umejilipa.. Cha ajabu anaweza akaanza kukudai kama atakupa hicho kiasi
 
Umri wako please,ukiombwa hela na demu iwe mkopo au msaada ujue anataka umchakate,tena alitaja kiwango elekezi kabisa cha bei ya kula mzigo
Siku nyingine ukiombwa hela na mwananke mwambie aje home kula mzigo mpe hela yake aliyoomba msijuane
Sio kila mtu anawaza ngono kama wewe.
Me pesa nikikopesha atarudisha hayo mambo ya kusema tumalizane sina.

Sijui kwanini watu wengine huwa kitu mmekiweka kwenye ubongo ni ngono tu.

Mtoa mada kama umepata pesa yako akinuna atajua mwenyewe muhimu hesabu zako zimerudi.

Me kwenye pesa yangu aloo sinaga mchezo wa kuchekeana kisa mwanamke.
 
Aisee Pesa bhana,
Mi nakumbuka nilipomaliza form four headmaster aliniahidi kitita fulan Kama pongezi kutokana na ufaulu wangu. Inshort , alijitapa skuli kuwa atanikabidhi kama chachu ili wanafunzi wengine waige mfano wangu na kupambana zaidi. Cha ajabu, upto date sikuwahi kupata hicho kitita zaidi, headmaster akajifanta hanijui tena. Kutoka kwenye nafasi ya ushujaa wa shule mpaka kuwa stranger na anonymous, aisee tuiche pesa iitwe pesa ni heri, usiahidi tu...kuliko kuahidi kushindwa kutimiza then mtu anageuka adui.
 
Kuna dada mmoja workmate alikopa 3M. Alikuwa na shughuli yake flani ya muhimu ila bajeti ikawa haikai. Ilikuwa March akaahidi kulipa end of April

Hajalipa hadi leo. Sad thing is najua anapata hela tena zaidi ya M7 monthly ila kulipa deni inakuwa ngumu

Sijui akili zao zipoje?
Yaani unamkopesha mtu Million 3 au unamaanisha Mia 3?
 
Wapo wanaokopesheka na kurudisha kwa wakati ila ni wachache na wamemezwa na wale wanaoamini wao ni wa kupewa tu,sijui hii tabia ni Tanzania tu au dunia nzima?
 
Kuna dada mmoja workmate alikopa 3M. Alikuwa na shughuli yake flani ya muhimu ila bajeti ikawa haikai. Ilikuwa March akaahidi kulipa end of April

Hajalipa hadi leo. Sad thing is najua anapata hela tena zaidi ya M7 monthly ila kulipa deni inakuwa ngumu

Sijui akili zao zipoje?
😳Afu utashangaa alikopa Kwa ajili ya birthday party yake🤦
 
Kuna dada mmoja workmate alikopa 3M. Alikuwa na shughuli yake flani ya muhimu ila bajeti ikawa haikai. Ilikuwa March akaahidi kulipa end of April

Hajalipa hadi leo. Sad thing is najua anapata hela tena zaidi ya M7 monthly ila kulipa deni inakuwa ngumu

Sijui akili zao zipoje?
U not serious
 
Mkuu 3ml parefu kuiachia iende.
 
Alikwama katika harakati zake za hapa na pale, hivyo akaniomba nimpatie elfu thelathini asogezee siku kisha kuahidi kunirudishia siku iliyofuata.
Sasa mkuu si ushapewa hela yako, unataka upewe na mbususu? Kama kakukaushia na wewe balance shobo mikaisho kama sanamu maisha yanaendelea.
 
Back
Top Bottom