Tatizo mnatrend kwa mambo ya kizwazwa ...hii jamii ya kiume mnayo itengeneza majibu yake mtayapata wala msijari inaweza usiyapate wewe ila wasichana wako wakayapata ....maana sikuhizi wanaume wenye kumbukumbu nzuri na wanawake wanaisha wote walio baki wanamemory mbaya na wanawake