Professor jizee kiukweli amepata mke bora na mwema sana aisee na mvumilivu aisee professor jizee pongezi zote amepeleka kwa mke wake na sijui amefanyeje kumpata yule mke wake na sikutegemea mke wake atakuwa vile lakini ndiyo imekuwa hivyo na wish siku nimfuate professor j nimuulize mke wake amempataje?
Kupitia interview ya Millard Ayo anamsifia mke wake mpka nikaona wivu wengine wanawapa wapi? Wake zao? Ingekuwa hawa akina Rashida,mwamtumu,mwajuma, Rachel n.k wa buza kwa rulenge,kwa mpalange,yombo na sehemu zingine wangekuwa wameshamkimbia tayari hawa wengine wapo after money Tu
Na nimekuja kugundua wanawake wanaotoka familia masikini ndiyo wasumbufu na wenye tamaa tamaa ambao mwanaume akiwa na matatizo tu wanamkimbia,wanawake wa uswahili ni watu wenye tamaa tamaa tu msioe wanawake wanaotoka familia masikini mtakuja kujuta Aisee
Mungu nijaalie nimpate mke bora kama wa profesa Jizee! insha'Allah.
Mwamba ana uchumi mzuri unaohakikisha usalama wa mkewe lazima atulie tu , na ukiangalia huku nnje kuna mafisi lazima awe mpole .
Hao kina mwantum unaowalaumu kila siku wanakula ugali dagaa waliolazimishwa kuitwa dagaa wa nyama , tena wa mia 3 na mafuta ya mia 7 lazima wawe kama walivyo π

Tukiacha masuala ya .Mke nimeangalia interview yote,chanzo alichosema Prof Jay ambacho tunatakiwa kujifunza na kubadilika ni:-
1.Mitungi,bata zisizo na maana/kampani mbovu
2.ulaji mbovu,anasema alikuwa anajikuta anakula hata saa 11 alfajiri akiwa anatoka kula bata(hata me nimeayaishi haya maisha, tumekutana na Prof mitaa na viwanja vingi sana)hii ni lifestyle ambayo vijana wengi wanaishi
3.Tufate sana USHAURI wa madaktari hasa Profesa Janabi amekuwa akijitolea sana kushauri waTz Bure ila mizaha tunayomfanyia Iko siku tutamkumbuka
4.kufanya checkup mara kwa mara siyo lazima uwe unaumwa
5.mazoezi ni muhimu sana
6.Tufanye ibada kila Mtu kwa Imani yake
Mwamba ana uchumi mzuri unaohakikisha usalama wa mkewe lazima atulie tu , na ukiangalia huku nnje kuna mafisi lazima awe mpole .
Hao kina mwantum unaowalaumu kila siku wanakula ugali dagaa waliolazimishwa kuitwa dagaa wa nyama , tena wa mia 3 na mafuta ya mia 7 lazima wawe kama walivyo π
Haswa dagaa wa mwanza, huwa nawaloweka kwenye maji ya moto kosha nawachuja na kuwakamulia ndimu, pilipili kwa mbalu na chumvi kwa mbali....
Kisha nakoroga rosti la mambogamboga na kutupia dagaa humo, πππππ
Ugali unaisha mboga inabaki, unasonga ugali mwingine kumalizia mboga, ugali unabaki.... unapika dagaa wengine kumalizia ugali and the cycle is endless π π π .
Jokes aside, napenda dagaa na ugali wa dona πππ.