Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Ukatane kijana kutoka familia masikini halafu kapata pata senti kidogo kwake maziwa na dagaa ni chakula kisicho na hadhi ila pizza na cocacola ni vyakula vyenye hadhi.Dagaa chakula kizuri sana kuanzia ladha mpaka virutubisho, sijui kwa nini Watanzania wanakidharau sana.
Dagaa ni chakula chenye protini nyingi sana. Ukipata dagaa walioungwa vizuri ni watamu sana.
Kwa nini kuna kasumba sana dhidi ya dagaa?
Akili ya kimasikini husababisha kudharau vile vya asili na natural ambavyo vilikukuza bila kushambuliwa na magonjwa.