Ukatane kijana kutoka familia masikini halafu kapata pata senti kidogo kwake maziwa na dagaa ni chakula kisicho na hadhi ila pizza na cocacola ni vyakula vyenye hadhi.Dagaa chakula kizuri sana kuanzia ladha mpaka virutubisho, sijui kwa nini Watanzania wanakidharau sana.
Dagaa ni chakula chenye protini nyingi sana. Ukipata dagaa walioungwa vizuri ni watamu sana.
Kwa nini kuna kasumba sana dhidi ya dagaa?
Nawapenda na nawaheshimu sana wanawake ila hapa UMEONGEA UONGO.Mke ukimrahisishia maisha hawezi kukimbia ukiwa na matatizo
Kwa heshima ya mgonjwa, ngoja wenye habari za chini ya kapeti tupige kimya...
Wahenga walishasema ""usilolijua ni sawa na usiku wa giza"...
Hapo tatizo ni elimu mkuu😂Dagaa chakula kizuri sana kuanzia ladha mpaka virutubisho, sijui kwa nini Watanzania wanakidharau sana.
Dagaa ni chakula chenye protini nyingi sana. Ukipata dagaa walioungwa vizuri ni watamu sana.
Kwa nini kuna kasumba sana dhidi ya dagaa?
Na mimi naona hivyo.Hapo tatizo ni elimu mkuu😂
Pole sana kwa kucheleww kulijua hilo. Wanawake waliolelewa familia zenye umasikini kisha wakatoboa maisha huwaambii kitu wewe mwanaume.
Chukua mwanamke ambae unamtoa kwa wazazi wake wakiwa ktk ndoa nzuri ila sio hawa kwao ndoa hakunaz umasikini umekithiri n.k anakukimbia faster tu.