Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Ndo nimechangia boss. Au kuna aina ya michango ndo unataka kuisikia?Jf Ina majukwaa mengi sioni kama nimelia lia Bali nmeleta mada tuchangie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nimechangia boss. Au kuna aina ya michango ndo unataka kuisikia?Jf Ina majukwaa mengi sioni kama nimelia lia Bali nmeleta mada tuchangie
Wanawake sio rahisi kuumizwa kimapenzi kama Wasichana ..Wafundisheni basi wadogo zenu wa kiume wasiwe nyoronyoro kiasi hiki.
Fungua jukwaa la MMU limejaa mada za wanaume zikiwalalamimia wanawake. Hivi unadhani wanawake hawaumizwi kimapenzi na wanaume?
Ni malalamiko tu boss kila kona.Waambie hao madogo
Mkuu tofauti na hapo kwenye Dunia ya leo ya wanawake wajinga utapata taabu sana!Uko sahihi mno mkuu
Weak Men focus on pleasure...!!Wanaume wanao support Malaya ni weak kuliko wanavyojifijiria
Hili neno kubwa sana, tatizo vijana hawaelewi hiliSikiza Mdogo wangu mpendwa, ukikataliwa na mwanamke katoe sadaka ya shukrani
Kuna mdau alisema lianzishwe jukwaa la malalamiko ya mapenzi yanayotolewa na wanaume.
Melo tafadhali ongeza jukwaa la LIA LIA FORUM FOR MEN
Siku hizi wanawake hawalii. Nionyeshe mada 3 tu kwa mwaka huu za wanawake wanaolia kutendwa kimapenzi humu jf.Kulia waliandikiwa wanawake tu?
Ingekuwa hivyo wanaume wasinge wekewa machozi
Anyway upo sahihi maana wanawake hakuna kitu Huwa mnajiuliza Kwa kutumia akili
Kila mtu ana preference zake ,wewe kuvumilia njaa KUWEZA? Upo kwenye ajira unalipwa laki 3 kwa mwezi ,ikaja offer ya laki 7 kwa mwezi utakaaa? WE UOGOPI?Just imagine umekaana na mshikaji miaka mi 4
Mmetambulishana Kwa familia Ujanja wote mshikaji anakufundisha akijua kabisa wewe sio mzuri ila kaamua kukuheshimu tu hakufanyiii usenge
Ghafla unapagawa na msela mwenye Subaru unaongoka Kwa aliye vumilia ubaya wako Kwa dharau na kebehi
Unazani umepata ka jamaa ka Subaru kana kupigisha kwata haswa Hadi kanakufirisi na biashara yako akili zinakurudi unaanza kuwa una msumbua ex-wako na wakati uliondoka Kwa nyodo na dharau
Wanawake baadhi ni nyumbu sana uyu nmechoka na nimechoshwa na simu zake
SHE IS A WOLF IN SHEEPING CLOTHING
Wadau tujitenge Sana na wanawake wenye tamaa ni sumu anaweza kukuua kabisa kisa pesa
Izo ulizozitaja ni sababu moja wapo, pia sababu nyingine kubwa ni mfumo jike ambao dunia inahuishi kwa sasa ambapo mwanaume kakalishwa kushusha standard yake na kukubaliana na mabaya yote ya mwanamke ikiwemo past chafu ndio ugentleman sijui ureal man wakati upande wa pili mwanamke kakalishwa woman supremacy ndio usawa.Wanaume tuna matatizo, tumekuwa weak, Ni kulalamika tu. Huyo X si unamtusua tu kwa gharama zake mpaka akimbie mwenyewe? Kama umemkinai binya hata hayo makalio huku unamwambia ushakitembeza sina hata hamu na wewe, tunadekezana dekezana kwanini?
kwanini tumekuwa watu wa kuendekeza kupendana pendana mno? Ni yale matamthilia ya mapenzi ndo yameharibu au hizi bongoflava za kulia lia?
Ni afadhali ziwekwe mahali pa moja[emoji23][emoji23] watajaza sevaa huko
Umechelewa sana kulijua hilo boss. Kaa mbali na mwanamke mwenye tamaa.Just imagine umekaana na mshikaji miaka mi 4
Mmetambulishana Kwa familia Ujanja wote mshikaji anakufundisha akijua kabisa wewe sio mzuri ila kaamua kukuheshimu tu hakufanyiii usenge
Ghafla unapagawa na msela mwenye Subaru unaongoka Kwa aliye vumilia ubaya wako Kwa dharau na kebehi
Unazani umepata ka jamaa ka Subaru kana kupigisha kwata haswa Hadi kanakufirisi na biashara yako akili zinakurudi unaanza kuwa una msumbua ex-wako na wakati uliondoka Kwa nyodo na dharau
Wanawake baadhi ni nyumbu sana uyu nmechoka na nimechoshwa na simu zake
SHE IS A WOLF IN SHEEPING CLOTHING
Wadau tujitenge Sana na wanawake wenye tamaa ni sumu anaweza kukuua kabisa kisa pesa
Anzeni kuwekeza hela muone maumivu yake. Wewe hauwekezi chochote zaidi ya hisia hivi mahusiano yakifa unaweza kulinganisha maumivu yake na mtu ambae amekusomesha au kukufungulia biashara?Siku hizi wanawake hawalii. Nionyeshe mada 3 tu kwa mwaka huu za wanawake wanaolia kutendwa kimapenzi humu jf.
Kibao kimegeuka kaka...
What comes around goes around, wamakonde wanasema.