Wanawake, hakikisheni kuwa sababu zenu za kumkataa mtu ni za msingi na za maana

Wafundisheni basi wadogo zenu wa kiume wasiwe nyoronyoro kiasi hiki.
Fungua jukwaa la MMU limejaa mada za wanaume zikiwalalamimia wanawake. Hivi unadhani wanawake hawaumizwi kimapenzi na wanaume?
Wanawake sio rahisi kuumizwa kimapenzi kama Wasichana ..

Wanawake wanauwezo wa kutambua mapema "who to cooperate" hivyo siyo rahisi kuumizwa...

Unawezaje kumlilia mtu ambaye ameonyesha mapema hana nia ya kusaidiana nawewe mfikie malengo?
 
Kulia waliandikiwa wanawake tu?

Ingekuwa hivyo wanaume wasinge wekewa machozi

Anyway upo sahihi maana wanawake hakuna kitu Huwa mnajiuliza Kwa kutumia akili
Siku hizi wanawake hawalii. Nionyeshe mada 3 tu kwa mwaka huu za wanawake wanaolia kutendwa kimapenzi humu jf.
Kibao kimegeuka kaka...
What comes around goes around, wamakonde wanasema.
 
Kila mtu ana preference zake ,wewe kuvumilia njaa KUWEZA? Upo kwenye ajira unalipwa laki 3 kwa mwezi ,ikaja offer ya laki 7 kwa mwezi utakaaa? WE UOGOPI?
 
Izo ulizozitaja ni sababu moja wapo, pia sababu nyingine kubwa ni mfumo jike ambao dunia inahuishi kwa sasa ambapo mwanaume kakalishwa kushusha standard yake na kukubaliana na mabaya yote ya mwanamke ikiwemo past chafu ndio ugentleman sijui ureal man wakati upande wa pili mwanamke kakalishwa woman supremacy ndio usawa.

Ukiweka hapa uzi wa kuwaambia wanaume wasimame kwenye standards zao mfano kuoa mwanamke bikira. Kuna wanaume wenzako watakushambulia kwa sababu tayari wameshamezwa na mfumo jike. Tumewaachia wanawake waishi bila kuwa accountable kwa lolote matokeo yake ndio haya.
 
Umechelewa sana kulijua hilo boss. Kaa mbali na mwanamke mwenye tamaa.
 
Siku hizi wanawake hawalii. Nionyeshe mada 3 tu kwa mwaka huu za wanawake wanaolia kutendwa kimapenzi humu jf.
Kibao kimegeuka kaka...
What comes around goes around, wamakonde wanasema.
Anzeni kuwekeza hela muone maumivu yake. Wewe hauwekezi chochote zaidi ya hisia hivi mahusiano yakifa unaweza kulinganisha maumivu yake na mtu ambae amekusomesha au kukufungulia biashara?

Wanaoongoza kudai talaka ni wanawake na hii ni kwa sababu hamna cha kupoteza, unafikiri sharti la kugawana mali likiondolewa kuna mwanaume ambae ataogopa au ataumizwa na talaka? Hamuumii sio kwamba mpo imara, ni kwa sababu hamuwekezi pesa au mali kwenye mahusiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…