Wanawake, hakikisheni kuwa sababu zenu za kumkataa mtu ni za msingi na za maana

Hii

Kitu imenigusa mkuu mtu Kuja kwasababu ya ahueni
Kwa sasa ndivyo mambo yalivyo. Anamwacha anayempenda anaenda kwa mwenye fedha. baada ya kuzoea hayo maisha anaanza kuona hayana maana anaanza kumiss jamaa yake. Kwakuwa ashaoelwa anaanza cheat, na mshikaji anakukomoa kwa sababu anaona kama ulimkatili, mwisho una watoto 4 kumbe 3 wote si wa kwako.
 
Ahsante wewe dada mwenye sura mbaya 😂

Umenikumbusha mngoni wangu mtaaam sana ila nikishamaliza tu naanza kujilaumu ila genye mbaya sana.
 
Wanawake wengine ni Monsters jamani, msituone wanaume hatujui tunachokifanya aisee. Ni real devils hawa nakwambia
 
Sasa tunafanye kwa situation kama hii Ina kwa ukweli

Regina Daniel's ni msanii wa Nigeria aliwah nukuliwa akisema amemuacha boyfriend wake sababu ya financial stability akaenda kwa yule mzee ned nwoko yule tajiri
 
Sasa tunafanye kwa situation kama hii Ina kwa ukweli

Regina Daniel's ni msanii wa Nigeria aliwah nukuliwa akisema amemuacha boyfriend wake sababu ya financial stability akaenda kwa yule mzee ned nwoko yule tajiri
Yule mzee itakwua ana mtrack yule ana ela si mchezo. Binti akijichanganya au mjuba analiwa kichwa. Mkuu tunaishi tu kwa imani.
 
Kwani huyu si analia kwasababu ya mapenzi au ulidhani analilia pipi? Wanaolialia hovyo tena hadharani ndo wana akili fupi.

Ukitendwa unajifungia unalia siku mbili au tatu baada ya wiki unatoka kama hakuna lilitokea maisha yanasonga.
Alili bali ana-share life experience
 
Mkuu wewe jitume kwenye mishe zako tengeneza pesa enjoy maisha. Ila siku nyingine pambania ndoto zako mwenyewe hakuna wakukusaidia. Usiseme eti unamuandaa mwanamke kuja kuishi naye, nyie kutaneni tu kati kati ya safari kuondoa mifadhaiko kama hii.

Sema nini kapite na rafiki yake kipenzi akome
 
FK21 Kaza moyo hapa duniani uwashinde wasaliti ooh Mola akulendee ooh ooh akusaidi.
Waenda kazini nako moto warudi nyumbani Subaru kabeba. Pale mtaani unapoishi mpenzi wako anao wawili.

Mwanaume unapopatwa na janga aaah aah macho huwa mekundu kwa uchungu lakini katu katu usikate tamaaa.

Wanaume tumeumbwa mateesooo mateso kuhangaika
 
Huyo Demi yeye anachochangia ni K tu halafu anataka awe na maumivu akiachwa.
 
Unastahili fimbo kabisa 😁🥶

Anyways"Ukizaliwa mwanaume we ujue Kila kwako itakuwa ni tabu "
 
unataka kupiga uber au bolt mkuu? Kama ni hivyo unahitaji gari ambalo ni la uhakika sio kwenda garage kila siku hapo walau uwe na fedha nzuri mkuu.
Mfano mtu akiwa na milioni nane, anapata gari la aina gani? Ni kwa mtu au used?
 
Kuna mdau alisema lianzishwe jukwaa la malalamiko ya mapenzi yanayotolewa na wanaume.

Melo tafadhali ongeza jukwaa la LIA LIA FORUM FOR MEN
Sio wanaume,sema wavulana,

Wanaume issue ndogo kama hizi hua tuna handle sisi wenyewe,

Kamwe usimsamehe msaliti wala kumpa nafasi nyingine.
 
unapata dem
Unamuuliza anataka mwanaume wa vipi anakujibu;
Care
Attention
Support
Honest

Ulivyomjinga unafurai na kukubali bila kuelewa amemanisha nini🤣🤣
Chukua letter zote za kwanza ujue dem anataka nini

C+A+S+H=Cash

Tafuta hela upendwe wewe👉👉👉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…