Wanawake, hakikisheni kuwa sababu zenu za kumkataa mtu ni za msingi na za maana

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Just imagine umekaana na mshikaji miaka mi 4
Mmetambulishana Kwa familia Ujanja wote mshikaji anakufundisha akijua kabisa wewe sio mzuri ila kaamua kukuheshimu tu hakufanyiii usenge

Ghafla unapagawa na msela mwenye Subaru unaongoka Kwa aliye vumilia ubaya wako Kwa dharau na kebehi

Unazani umepata ka jamaa ka Subaru kana kupigisha kwata haswa Hadi kanakufirisi na biashara yako akili zinakurudi unaanza kuwa una msumbua ex-wako na wakati uliondoka Kwa nyodo na dharau

Wanawake baadhi ni nyumbu sana uyu nmechoka na nimechoshwa na simu zake

SHE IS A WOLF IN SHEEPING CLOTHING

Wadau tujitenge Sana na wanawake wenye tamaa ni sumu anaweza kukuua kabisa kisa pesa
 
#Kataa ndoa
 
Sasa jamaa yako kwanini alikuwa anavumilia sura mbaya? Alikuwa ananufaika nini na mwanamke mwenye sura mbaya, au alilazimishwa?
 
Mjukuu wangu Kamwe Usimpe Malaya Roho Yako Wala Kifua Chako Maana Ndani Yake Ni Mauti
FB_IMG_17320810359883705.jpg
 
Back
Top Bottom