Wanawake hamnaga shukrani kabisa

Daaa amenikumbusha machungu .. nilikutana na binti mmoja mdogo hospital Ana vichanga mapacha vinaumwa .. ametelekezwa hana msaada wowote .. nikajikuta nimeingia huruma nikamsaidia sana matibabu ya wale watoto bahati mbaya mmoja akatuacha . Akabaki mmoja akawa anahangaika naye hospital mbali mbali mwaka mzima .. nampa nauli matibabu .. chakula..... duuuu kilichokuja kutokea 1yrs later .. mungu ahimidiwe
 
Tatizo hukumpenda, ulimuhurumia. Wanawake wa hivyo huwa wanatafuta pa kupata nafuu sababu maisha yamewapiga. Si kwasababu unapendwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…