Wanawake hamnaga shukrani kabisa

Wanawake hamnaga shukrani kabisa

Zaburi 91:1-16​

Zaburi 91:1-16 BHN​

Anayekaa chini ya ulinzi wa Mungu Mkuu, anayeishi chini ya kivuli cha Mungu Mwenye Nguvu, ataweza kumwambia Mwenyezi-Mungu: “Wewe ni kimbilio langu na ngome yangu; Mungu wangu, ninayekutumainia!” Hakika Mungu atakuokoa katika mtego; atakukinga na maradhi mabaya. Atakufunika kwa mabawa yake, utapata usalama kwake; mkono wake utakulinda na kukukinga. Huna haja ya kuogopa vitisho vya usiku, wala shambulio la ghafla mchana; huna haja ya kuogopa baa lizukalo usiku, wala maafa yanayotokea mchana. Hata watu elfu wakianguka karibu nawe, naam, elfu kumi kuliani mwako, lakini wewe baa halitakukaribia. Kwa macho yako mwenyewe utaangalia, na kuona jinsi watu waovu wanavyoadhibiwa. Wewe umemfanya Mwenyezi-Mungu kuwa kimbilio lako; naam, Mungu aliye juu kuwa kinga yako. Kwa hiyo, hutapatwa na maafa yoyote; nyumba yako haitakaribiwa na baa lolote. Maana Mungu atawaamuru malaika zake, wakulinde popote uendapo. Watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa kwenye jiwe. Utakanyaga simba na nyoka, utawaponda wana simba na majoka. Mungu asema: “Nitamwokoa yule anipendaye; nitamlinda anayenitambua! Akiniita, mimi nitamwitikia; akiwa taabuni nitakuwa naye; nitamwokoa na kumpa heshima. Nitamridhisha kwa maisha marefu, nitamjalia wokovu wangu.”

Ei meee
 
Mkishajifunika shuka moja basi huwezi fikiria wala kumbuka chochote, zaidi yakuona kile ukionacho.
Mimi hata wkt napiga show huwa najikuta nawaza mambo mengine ya msingi kama mtu anaekunywa kahawa kijiweni...kiuhalisia hyo mambo si kipaumbele tena kwangu ....nafanya tu kujiburudisha....hii ni kutokana na na huu utapel unaofanywa na hawa wenzetu wa upande wa pili
 
🎵"Hivi Hushangai Napendwa, Ila Sura Bado Inakosa Nuru, Yaani Najiona Sipo Huru, Napagwa, Siku Zinavyozidi Kwenda, Najiona kabisa ntakufuru, Maana Naishi Ka Kunguru, Kutwa Kuzificha Mbawa, Riziki yangu ya papatu papatu, Mara nilipe Vikoba Upatu, Vipi Ukija Kutamani Vya Watu? Mimi si utaniacha?🎶
 
Eee baba ona vejana wanavyoteseka....
Wanateswa kimapenze na wanawake waliofwafwanzeka...
Eee baba tunaomba uwafongoe vechwa vyao baba...
Fongoaaa fongoaa fongoooa....
 
Unakutana na mwanamke amefwafwanzika hakuna anayemtamani na kitoto chake chenye utapiamlo.

Unamchukua mnaanza kufanya maisha, anaanza kupendeza na kuvutia wengine, baadaye anaamua kukusaliti kabisa na kuanza kukuona si chochote.

Mbaya zaidi mwishoni unapewa jibu la "fanya mambo yako"

Kweli nimeamini usitongoze mwanamke akiwa kwenye matatizo , matatizo yake yakiisha lazima akusahau.
Wewe kumbe unaoa mtu "kumsaidia" kumbe infact ni wewe umeona ana shida ili umpate kirahisi utimize your selfish reasons of holding someone?

Guess what,na yeye ana akili,alikua hakupendi since day one,sema kwavile ana shida akaona akubali ili akikaa sawa aweze kufata anachokipenda

Wa kulaumiwa ni wewe unaejifanya ku capitalize kwenye matatizo ili uweze kutimiza nia zako....

Eti "nimemsaidia"..hapana,ni "umejisaidia" wewe binafsi,uzuri muda umefika wa hiyo kujisaidia kwa kutumia matatizo ya watu umefika mwisho maana yale matatizo yameisha hakuna cha kuchukulia tena

Wewe ungeoa mwanamke alie kamili asie na hizo shida unazojifanya ku capitalize ili baadae uanze kusema maneno ya hovyo hivi "nilimsaidia leo kanisaliti"

Nani kakwambia "usaidie" watu ili uwaoe?

Watu wanaoa kwa "kumpenda" muhusika bila kuwepo na vigezo vya shida na blah blah

Haikua ndoa ,ilikua ni financial /business proposition na kulikua hakuna love from the start,ilikua ni financial institution lending to an individual kwa kigezo cha kuoa kumbe ni wrong reason and lies among yourselves.

Now wewe unajipa high priest status,kumbe ni hovyo kama mwenzako,wakati mnajua kabisa mlikula njama tangu mwanzo wote wawili
 
Wewe kumbe unaoa mtu "kumsaidia" kumbe infact ni wewe umeona ana shida ili umpate kirahisi utimize your selfish reasons of holding someone?

Guess what,na yeye ana akili,alikua hakupendi since day one,sema kwavile ana shida akaona akubali ili akikaa sawa aweze kufata anachokipenda

Wa kulaumiwa ni wewe unaejifanya ku capitalize kwenye matatizo ili uweze kutimiza nia zako....

Eti "nimemsaidia"..hapana,ni "umejisaidia" wewe binafsi,uzuri muda umefika wa hiyo kujisaidia kwa kutumia matatizo ya wapi umefika mwisho maana yale matatizo yameisha hakuna cha kuchukulia tena

Wewe ungeona mwanamke alie kamili asie na hizo shida unazojifanya ku capitalize ili baadae uanze kusema maneno ya hovyo hivi "nilimsaidia leo kanisaliti"

Nani kakwambia "usaidie" watu ili uwaoe?

Watu wanaoa kwa "kumpenda" muhusika bila kuwepo na vigezo vya shida na blah blah

Haikua ndoa ,ilikua ni financial /business proposition na kulikua hakuna love from the start,ilikua ni financial institution lending to an individual kwa kigezo cha kuoa kumbe ni wrong reason and lies among yourselves.

Now wewe unajipa high priest status,kumbe ni hovyo kama wewe,wakati mnajua kabisa mlikula njama tangu mwanzo wote wawili
Kunywa peps big mkuu
 
Nilimkuta kajifungua mapacha aliyempa mimba kasepa mtoto mmoja akafariki .. aliyebakia akagundulika ana shida ya moyo hela ya matibabu alikuwa hana nikawa nagharimia na baadae nikamkatia Bima... .. miaka mitatu mtoto katengamaa kakuwa kilichonikuta .... duu hawa wanawake acheni tu
Utalipwa na MUNGU duniani hakuna haki. Ila mkuu unawekezaje kwa mtu ambae kakimbiwa na mwenye majukumu yake.? Hiyo fanya ni sadaka ya kutetezwa umetoa
 
Screenshot_2022-08-03-07-50-39.png
 
Women find it incredibly difficult to appreciate the sacrifices men make for them.

Do not expect them to understand.
“Kile ambacho Mungu ameunganisha mtu yeyote asikitenganishe.” (Mt. 19:3-6; Mwa. 2:
 
Back
Top Bottom