Wanawake hamuwezi kuachana na Ma Ex wenu?

Mimi ndo kabiiisa nakosa imani na hawa watu...!!alinidanganya n bkr...siku 1 be4 mchezo ananambia alkuwa na mtu so ilitolewa akiwa darasa la 7...!!nkamchapa hlf nkabwagilia mbali....sasa hv xnaga haata habari nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimamo wako Ni kama wangu sitoki na mke wa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi pia sigusi mama ya mtu kama ambavyo sitaki yangu iguswe. Im very straight on that.
 
Hii ni ishu mtambuka sana but tatizo ni kwamba huwezi mchunga mtu mzima. Kuna wakati nilikuwa napata tabu sana kuona hata mpenzi wangu anatongozwa na team fisi.

Ilikuwa inauma sana roho but after some times nikaanza kuzoea tho ilikuwa inasababisha quarells sana but now nimetransform. Nakamata totoz kisela nazimega kimya kimya na simuwazi tena manzi, akitongozwa au asitongozwe shauri yake ila mie nikipata chance napiga za kindiki kiroho safi. Kuwaza mwanamke hatokuchit utajiumiza hasa ukiwa overprotective.
 
Na mimi nimegundua hill baada ya kuishi miaa zaidi ya kumi na tano kwa uaminifu mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mimi nimegundua hill baada ya kuishi miaa zaidi ya kumi na tano kwa uaminifu mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndivyo ilivyo mkuu, utaishi maisha marefu sana kama usipotaka kujua mkeo anafanyaga nini akiwa mbali na wewe. Ubaya tu asiwe na kiburi. Ila pia nawewe usijinyime, cheza gemu za kindiki kwa step, piga ukipata nafasi ila usijisahau uendelee kumuheshimu mkeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…