Wanawake hamuwezi kuachana na Ma Ex wenu?

Wanaume wote tungekuwa na mtazamo kama Wako Ingekuwa vizuri Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In every general rule there is an exceptional! Wengine hatuna hako kaujinga yaani mi Kama boda boda Sina reverse ha ha always forward

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah ujakutana na mndewa anaejua kukonga ngoma za masikio yako. Njoo tuyajenge then ujue kwanini paka ana sharubu ila sio ndevu!
 
Unavyo mchelewesha kumuoa tunamchakaza ili kupata urahisi wa kumuomba papuch utakapo muoa.
 
kama wameachana kwa wema mtanange utendelea

lakini na ww una x, ko unaendeleza kama vile umuwaziavyo mkeo.

basi kua na amani.
tatizo linakuja hapa tuu.. mara nyingi sisi hatujiamini kwa ma ex wa wapenz wetu tukiwa na mawazo kuwa kuna vitu wanatuzidi... mf. maumbile uwezo wa kumridhisha nk. lkn kwetu unakuta enz hizo ma ex wetu walikuwa wa kawaida kuliko wake zetu.. (si wote).. ndo maana ukamchagua awe mkeo kakuvutia kwa vingi.
.
.
kikubwa anza na ww.. usifanye kitu usichopenda wewe kufanyiwa.. jitahidi kumridhisha na kjmpa penz la dhati na kuwa nae karibu.. awe rafiki.. jitahidi umteke kwa vingi!! mengine acha kuwaza
 
Sinaga tabia yakurudia makombo nikikuacha nakuacha kweli kweli kama meli la Greece!
Kuna watu wanaambukizwa HIV kila siku kwa ujinga wa kurudiana na Ex

Sent by Diaspora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…