Wanawake hamuwezi kuachana na Ma Ex wenu?

Wanawake hamuwezi kuachana na Ma Ex wenu?

Hapa inategemeana na aina ya mwanamke. But yes nina mfano hai. One of my ex aliolewa.. miaka miwili iliyopita. Binafsi nilishamfuta kwenye akili. But gafla juzi nikaona namba ngeni, kumbe ni yeye bwana.. si ndio akaanza soothing.. mara sijui bado naku.. basi maneno kibao. Ila nilichogundua anataka tena..
Na moja ya sheria zangu.. sitok na mke wa mtu hata kama alikuwa demu wangu huko nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wote tungekuwa na mtazamo kama Wako Ingekuwa vizuri Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni ishu mtambuka sana but tatizo ni kwamba huwezi mchunga mtu mzima. Kuna wakati nilikuwa napata tabu sana kuona hata mpenzi wangu anatongozwa na team fisi.

Ilikuwa inauma sana roho but after some times nikaanza kuzoea tho ilikuwa inasababisha quarells sana but now nimetransform. Nakamata totoz kisela nazimega kimya kimya na simuwazi tena manzi, akitongozwa au asitongozwe shauri yake ila mie nikipata chance napiga za kindiki kiroho safi. Kuwaza mwanamke hatokuchit utajiumiza hasa ukiwa overprotective.
Sawa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In every general rule there is an exceptional! Wengine hatuna hako kaujinga yaani mi Kama boda boda Sina reverse ha ha always forward

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah ujakutana na mndewa anaejua kukonga ngoma za masikio yako. Njoo tuyajenge then ujue kwanini paka ana sharubu ila sio ndevu!
 
Unavyo mchelewesha kumuoa tunamchakaza ili kupata urahisi wa kumuomba papuch utakapo muoa.
 
kama wameachana kwa wema mtanange utendelea

lakini na ww una x, ko unaendeleza kama vile umuwaziavyo mkeo.

basi kua na amani.
tatizo linakuja hapa tuu.. mara nyingi sisi hatujiamini kwa ma ex wa wapenz wetu tukiwa na mawazo kuwa kuna vitu wanatuzidi... mf. maumbile uwezo wa kumridhisha nk. lkn kwetu unakuta enz hizo ma ex wetu walikuwa wa kawaida kuliko wake zetu.. (si wote).. ndo maana ukamchagua awe mkeo kakuvutia kwa vingi.
.
.
kikubwa anza na ww.. usifanye kitu usichopenda wewe kufanyiwa.. jitahidi kumridhisha na kjmpa penz la dhati na kuwa nae karibu.. awe rafiki.. jitahidi umteke kwa vingi!! mengine acha kuwaza
 
Sinaga tabia yakurudia makombo nikikuacha nakuacha kweli kweli kama meli la Greece!
Kuna watu wanaambukizwa HIV kila siku kwa ujinga wa kurudiana na Ex

Sent by Diaspora
 
Back
Top Bottom