lindunduru
JF-Expert Member
- Aug 2, 2015
- 392
- 553
Habari ndugu zangu,Poleni na mihangaiko ya kuhangaikia mikate yenu ya kila siku kuhakikisha Familia zenu zinapata mikate ya kila siku.
Narudi kwenye Mada Nina evidences zaidi ya 10 naona wake za watu wanapokutana na ma ex wao wanashindwa kujizuia, Jamaa wanang'oa tu kilaini, na wakati mwingine hawa wanawake ndiyo wanajichekesha wenyewe kuonesha wanataka kitu kutoka kwa hao ma ex wao.
Nachelea kusema nakibaliana na jamaa mmoja humu aliwahi kusema nanukuu "ukioa mwanamke amabaye siyo bikra basi umeoa mke wa mtu.
Sasa ndugu zangu nipeni mawazo maana nahisi naelekea kutowaamini wanawake akiwemo mke wangu maana naye yumo
Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app