bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,334
- 2,463
Hatari na nusu.
Ndugu zangu leo nawapatia majina ya wanawake hatari mmoja bada ya mwingine ili nanyi muweze kushuhudia jinsi wanavyotisha. Katika mtiririko ufuatao Kadiri navyo waorodhesha ndivyo ukali unazidi, yaan wa kwanza anakuwa mkali anayefwata mkali zaidi. Hivyo hivyo.
Tunaanza sasa.
Namba moja Irene Uwoya.
Hii pisi ni noma na nusu kwanza alianza na Ndikumana, ilikuwa ni ajabu yaan kifo cha mchezaji huyu nguli na jinsi wachezaji walivyo phisical fit lakini kwake haikuwa hivyo aliacha uhai ghafla.
Watu tukazani aaaha kawaida tu, mara akaja Janjaro watu tulishangaa sana. Mimi binafsi nilishtuka sana baada ya dogo kuanza kuimba nyimbo " your my banana" nikasema kimoyomoyo Yamekwisha. Yule dogo alifyonzwa vibaya mnno, full kupagawa mara akaanza kuvaa na magauni kwenye nyimbo zake. Yaani fujo tupuu, saa ivi amekondaaa anahitaji msaada wa haraka sana.
Number mbili kajala Frida.
Weka mbali na vijana wa kiume, hii chata ni hatari hatari. Ameacha listi nyeusi sana, baadhi ya wahanga ni kama ifuatavyo:
Alianza na Godfaxa Majani alimfyonza na alivyo mwacha mwamba alipagawa sana, hakuamini kabisa hata zile touch zake kutengeneza melody kali za bongo fleva zikayeyuka, mwanadada kasepa nazo, mwamba akiangalia piano haoni tena melody bali vitufe vibonyezo tu vyeupe na vyeusi.
Mwamba wa pili sijui mengi juu yake ila nachojua akaishia JELA ... Hatari sanaa.
Mwamba wa tatu huyu wa majuzi sijui itakuwaje, HAMOO kiufupi ameyavaa kwa mwanamama, mpaka sasa harmo kabaki na bonge wa mdoa mweusi kwenye ugoko wa kulia sijui ilikuwaje, nachohofia zaidi kj kasepa na fuel nzima ya mshikaji, hivyo zile back tu back za kuachia ngoma ndo basi tenaa, inahudhunisha sana. Sasa maperfum yotee yale si ndo ukichaa. Nadharia niliyonayo ili kutokuzeeka ananyonya talenti au akili za wanaume.
Nimeweka picha zao msiziangalie sana sio nzuri kwa afya zenu.