Wanawake hatari zaidi hapa Bongo

Wanawake hatari zaidi hapa Bongo

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
Hatari na nusu.

Ndugu zangu leo nawapatia majina ya wanawake hatari mmoja bada ya mwingine ili nanyi muweze kushuhudia jinsi wanavyotisha. Katika mtiririko ufuatao Kadiri navyo waorodhesha ndivyo ukali unazidi, yaan wa kwanza anakuwa mkali anayefwata mkali zaidi. Hivyo hivyo.

Tunaanza sasa.
Namba moja Irene Uwoya.
images (1) (14).jpeg

Hii pisi ni noma na nusu kwanza alianza na Ndikumana, ilikuwa ni ajabu yaan kifo cha mchezaji huyu nguli na jinsi wachezaji walivyo phisical fit lakini kwake haikuwa hivyo aliacha uhai ghafla.

Watu tukazani aaaha kawaida tu, mara akaja Janjaro watu tulishangaa sana. Mimi binafsi nilishtuka sana baada ya dogo kuanza kuimba nyimbo " your my banana" nikasema kimoyomoyo Yamekwisha. Yule dogo alifyonzwa vibaya mnno, full kupagawa mara akaanza kuvaa na magauni kwenye nyimbo zake. Yaani fujo tupuu, saa ivi amekondaaa anahitaji msaada wa haraka sana.

Number mbili kajala Frida.
images (1) (12).jpeg

Weka mbali na vijana wa kiume, hii chata ni hatari hatari. Ameacha listi nyeusi sana, baadhi ya wahanga ni kama ifuatavyo:

Alianza na Godfaxa Majani alimfyonza na alivyo mwacha mwamba alipagawa sana, hakuamini kabisa hata zile touch zake kutengeneza melody kali za bongo fleva zikayeyuka, mwanadada kasepa nazo, mwamba akiangalia piano haoni tena melody bali vitufe vibonyezo tu vyeupe na vyeusi.

Mwamba wa pili sijui mengi juu yake ila nachojua akaishia JELA ... Hatari sanaa.
Mwamba wa tatu huyu wa majuzi sijui itakuwaje, HAMOO kiufupi ameyavaa kwa mwanamama, mpaka sasa harmo kabaki na bonge wa mdoa mweusi kwenye ugoko wa kulia sijui ilikuwaje, nachohofia zaidi kj kasepa na fuel nzima ya mshikaji, hivyo zile back tu back za kuachia ngoma ndo basi tenaa, inahudhunisha sana. Sasa maperfum yotee yale si ndo ukichaa. Nadharia niliyonayo ili kutokuzeeka ananyonya talenti au akili za wanaume.

Nimeweka picha zao msiziangalie sana sio nzuri kwa afya zenu.
 
Kuna huyu Zumarid hatar sana kwanza picha lianzaaaa kasepa na Jua chumbanj kwake siku iyoo dunia ilikaa ngizaa muda mrefu sana.....

Kuna huyu amberuty ndo kafanyaa bongo zima tanganyika yote inuke inyaaaaaaa...

Kuna huyu Zuwena wa diamond daaah kasepa na urith kabisaaaaa
 
Hatari na nusu.

Ndugu zangu leo nawapatia majina ya wanawake hatari mmoja bada ya mwingine ili nanyi muweze kushuhudia jinsi wanavyotisha. Katika mtiririko ufuatao Kadiri navyo waorodhesha ndivyo ukali unazidi, yaan wa kwanza anakuwa mkali anayefwata mkali zaidi... Hivyo hivyo.

Tunaanza sasa.
Namba moja Irene Uwoya.
View attachment 2552934

Hii pisi ni noma na nusu kwanza alianza na Ndikumana, ilikuwa ni ajabu yaan kifo cha mchezaji huyu nguli na jinsi wachezaji walivyo phisical fit lakini kwake haikuwa hivyo aliacha uhai ghafla. Watu tukazani aaaha kawaida tu, mara akaja Janjaro watu tulishangaa sana. Mimi binafsi nilishtuka sana baada ya dogo kuanza kuimba nyimbo " your my banana" nikasema kimoyomoyo Yamekwisha. Yule dogo alifyonzwa vibaya mnno, full kupagawa mara akaanza kuvaa na magauni kwenye nyimbo zake. Yaani fujo tupuu, saa ivi amekondaaa anahitaji msaada wa haraka sana.

Number mbili kajala Frida.
View attachment 2552933

Weka mbali na vijana wa kiume, hii chata ni hatari hatari. Ameacha listi nyeusi sana, baadhi ya wahanga ni kama ifuatavyo:
alianza na Godfaxa Majani alimfyonza na alivyo mwacha mwamba alipagawa sana, hakuamini kabisa hata zile touch zake kutengeneza melody kali za bongo fleva zikayeyuka, mwanadada kasepa nazo, mwamba akiangalia piano haoni tena melody bali vitufe vibonyezo tu vyeupe na vyeusi.
Mwamba wa pili sijui mengi juu yake ila nachojua akaishia JELA ... Hatari sanaa.
Mwamba wa tatu huyu wa majuzi sijui itakuwaje, HAMOO kiufupi ameyavaa kwa mwanamama, mpaka sasa harmo kabaki na bonge wa mdoa mweusi kwenye ugoko wa kulia sijui ilikuwaje, nachohofia zaidi kj kasepa na fuel nzima ya mshikaji, hivyo zile back tu back za kuachia ngoma ndo basi tenaa, inahudhunisha sana. Sasa maperfum yotee yale si ndo ukichaa. Nadharia niliyonayo ili kutokuzeeka ananyonya talenti au akili za wanaume.

Nimeweka picha zao msi za iangalie sana sio nzuri kwa afya zenu.
Thubutuuuu!!!! Yan konde aache kuwa serious na kazi kisa huyu malaya!!.? Sio kwel..dogo bado anapambana na kuonyesha yeye hababaiki nae wala sio mnyonge akampokonya na Range...unaleta mapenz huku watu tunataka kazi!!?
 
Hatari na nusu.

Ndugu zangu leo nawapatia majina ya wanawake hatari mmoja bada ya mwingine ili nanyi muweze kushuhudia jinsi wanavyotisha. Katika mtiririko ufuatao Kadiri navyo waorodhesha ndivyo ukali unazidi, yaan wa kwanza anakuwa mkali anayefwata mkali zaidi. Hivyo hivyo.

Tunaanza sasa.
Namba moja Irene Uwoya.
View attachment 2552934

Hii pisi ni noma na nusu kwanza alianza na Ndikumana, ilikuwa ni ajabu yaan kifo cha mchezaji huyu nguli na jinsi wachezaji walivyo phisical fit lakini kwake haikuwa hivyo aliacha uhai ghafla.

Watu tukazani aaaha kawaida tu, mara akaja Janjaro watu tulishangaa sana. Mimi binafsi nilishtuka sana baada ya dogo kuanza kuimba nyimbo " your my banana" nikasema kimoyomoyo Yamekwisha. Yule dogo alifyonzwa vibaya mnno, full kupagawa mara akaanza kuvaa na magauni kwenye nyimbo zake. Yaani fujo tupuu, saa ivi amekondaaa anahitaji msaada wa haraka sana.

Number mbili kajala Frida.
View attachment 2552933

Weka mbali na vijana wa kiume, hii chata ni hatari hatari. Ameacha listi nyeusi sana, baadhi ya wahanga ni kama ifuatavyo:

Alianza na Godfaxa Majani alimfyonza na alivyo mwacha mwamba alipagawa sana, hakuamini kabisa hata zile touch zake kutengeneza melody kali za bongo fleva zikayeyuka, mwanadada kasepa nazo, mwamba akiangalia piano haoni tena melody bali vitufe vibonyezo tu vyeupe na vyeusi.

Mwamba wa pili sijui mengi juu yake ila nachojua akaishia JELA ... Hatari sanaa.
Mwamba wa tatu huyu wa majuzi sijui itakuwaje, HAMOO kiufupi ameyavaa kwa mwanamama, mpaka sasa harmo kabaki na bonge wa mdoa mweusi kwenye ugoko wa kulia sijui ilikuwaje, nachohofia zaidi kj kasepa na fuel nzima ya mshikaji, hivyo zile back tu back za kuachia ngoma ndo basi tenaa, inahudhunisha sana. Sasa maperfum yotee yale si ndo ukichaa. Nadharia niliyonayo ili kutokuzeeka ananyonya talenti au akili za wanaume.

Nimeweka picha zao msi za iangalie sana sio nzuri kwa afya zenu.
Daaah we kijana mweuepe sana kwenye hii sekta.

Njoo inbox nikupe mafunzo utaiva ndani ya wiki tatu tu.
 
Thubutuuuu!!!! Yan konde aache kuwa serious na kazi kisa huyu malaya!!.? Sio kwel..dogo bado anapambana na kuonyesha yeye hababaiki nae wala sio mnyonge akampokonya na Range...unaleta mapenz huku watu tunataka kazi!!?
Kabaki na moja na jishangazi likavuna moja ila kafilisiwa kiuchumi na kiakili, kabaki kulialia kwamba anadhulumiwa baada ya kubaini acc inasoma negative(yaani madeni ni mengi zaidi ya kipato). Hiyo mishangazi ya town kwa dogo wa kijijini ndanindani kama yule asiyejua maisha ya town lazima yamnyonye, jimama ni mumiani linanyonya mpaka damu ndiyo maana dogo kapoteza direction.
Isingeukuwa kunachanganyikiwa na lile nyonya damu hata label isingekufa kiboya namna ile, budget ya kuendesha label iliishia kumridhisha mama wa town.
Dogo anachofurahisha ni ile kujitutumua lakini angekuwa kazaliwa na kukulia town asingefilisiwa kifala namna ile.
 
Kabaki na moja na jishangazi likavuna moja ila kafilisiwa kiuchumi na kiakili, kabaki kulialia kwamba anadhulumiwa baada ya kubaini acc inasoma negative(yaani madeni ni mengi zaidi ya kipato). Hiyo mishangazi ya town kwa dogo wa kijijini ndanindani kama yule asiyejua maisha ya town lazima yamnyonye, jimama ni mumiani linanyonya mpaka damu ndiyo maada dogo kapoteza direction.
Isingeukuwa kunachanganyikiwa na lile nyonya damu hata label isingekufa kiboya namna ile, budget ya kuendesha label iliishia kumridhisha mama wa town.
Dogo anachofurahisha ni ile kujitutumua lakini angekuwa kazaliwa na kukulia town asingefilisiwa kifala namna ile.
Mpigee kadi huyo hajui, yule ni nyonya roho kabisa
 
Back
Top Bottom