M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
.Mpigee kadi huyo hajui, yule ni nyonya roho kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Mpigee kadi huyo hajui, yule ni nyonya roho kabisa
Jifunze kutulia. Acha kiherehere 😂Kwani uwoya anaumeme ama?
Wewe ni Ke au Me maana nitashangaa sana nikijua ni MeIla tuseme ukweli huyu mwanamuke ana suraa nzinto sura ina shape gani sijui oblong janjaro hayupo sawa
HeheheHatari na nusu.
Ndugu zangu leo nawapatia majina ya wanawake hatari mmoja bada ya mwingine ili nanyi muweze kushuhudia jinsi wanavyotisha. Katika mtiririko ufuatao Kadiri navyo waorodhesha ndivyo ukali unazidi, yaan wa kwanza anakuwa mkali anayefwata mkali zaidi. Hivyo hivyo.
Tunaanza sasa.
Namba moja Irene Uwoya.
View attachment 2552934
Hii pisi ni noma na nusu kwanza alianza na Ndikumana, ilikuwa ni ajabu yaan kifo cha mchezaji huyu nguli na jinsi wachezaji walivyo phisical fit lakini kwake haikuwa hivyo aliacha uhai ghafla.
Watu tukazani aaaha kawaida tu, mara akaja Janjaro watu tulishangaa sana. Mimi binafsi nilishtuka sana baada ya dogo kuanza kuimba nyimbo " your my banana" nikasema kimoyomoyo Yamekwisha. Yule dogo alifyonzwa vibaya mnno, full kupagawa mara akaanza kuvaa na magauni kwenye nyimbo zake. Yaani fujo tupuu, saa ivi amekondaaa anahitaji msaada wa haraka sana.
Number mbili kajala Frida.
View attachment 2552933
Weka mbali na vijana wa kiume, hii chata ni hatari hatari. Ameacha listi nyeusi sana, baadhi ya wahanga ni kama ifuatavyo:
Alianza na Godfaxa Majani alimfyonza na alivyo mwacha mwamba alipagawa sana, hakuamini kabisa hata zile touch zake kutengeneza melody kali za bongo fleva zikayeyuka, mwanadada kasepa nazo, mwamba akiangalia piano haoni tena melody bali vitufe vibonyezo tu vyeupe na vyeusi.
Mwamba wa pili sijui mengi juu yake ila nachojua akaishia JELA ... Hatari sanaa.
Mwamba wa tatu huyu wa majuzi sijui itakuwaje, HAMOO kiufupi ameyavaa kwa mwanamama, mpaka sasa harmo kabaki na bonge wa mdoa mweusi kwenye ugoko wa kulia sijui ilikuwaje, nachohofia zaidi kj kasepa na fuel nzima ya mshikaji, hivyo zile back tu back za kuachia ngoma ndo basi tenaa, inahudhunisha sana. Sasa maperfum yotee yale si ndo ukichaa. Nadharia niliyonayo ili kutokuzeeka ananyonya talenti au akili za wanaume.
Nimeweka picha zao msi za iangalie sana sio nzuri kwa afya zenu.
Huyo hapana huyo anatoka na Marioo Sana sio mpigaji unamuonea kwenye hiyo angleKuna jini linaitwa anti ezekia linakunyonya mpaka pumzi
Si mpaka uwe na hela lakiniIla kama Uwoya watu wanapiga sana na anapenda one night stand, kugandana hataki,anatongoza mpaka wanaume ili mradi kutimiza hamu zake then kila mtu na time yake.
Nimeshangaa aunt hayupooo.Kuna jini linaitwa anti ezekia linakunyonya mpaka pumzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila kama Uwoya watu wanapiga sana na anapenda one night stand, kugandana hataki,anatongoza mpaka wanaume ili mradi kutimiza hamu zake then kila mtu na time yake.
Anti ndio alitakiwa awe namba moja halafu namba mbili awe sepetu.Nimeshangaa aunt hayupooo.
Kala Jeremiah,Linex, Baga wale wana hela gani? Wote wamepiga ,kama Dude kapiga sana huyo Uwoya.Huko makambini wanapokaa wasanii kwa ajili ya kuandaa movie zao kuna mengi sana.Si mpaka uwe na hela lakini
Kala Jeremiah,Linex, Baga wale wana hela gani? Wote wamepiga ,kama Dude kapiga sana huyo Uwoya.Huko makambini wanapokaa wasanii kwa ajili ya kuandaa movie zao kuna mengi sana.
Basi atakuwa ana mix maana yake ukiangalia uwoya hakuna bishe ya maana anayofanya lakini anaishi maisha expensiveKala Jeremiah,Linex, Baga wale wana hela gani? Wote wamepiga ,kama Dude kapiga sana huyo Uwoya.Huko makambini wanapokaa wasanii kwa ajili ya kuandaa movie zao kuna mengi sana.
Wapo vipopa anaotembea nao,ila Uwoya akikuelewa anakutongoza .Huko makambini wanagongana kishenzi, huyo Baga kapiga mpaka Lulu Diva,kama Hemed yule naona kama atakuwa kamaliza mademu wote wa bongo movie.Basi atakuwa ana mix maana yake ukiangalia uwoya hakuna bishe ya maana anayofanya lakini anaishi maisha expensive
Hao ni reject saiziAnti ndio alitakiwa awe namba moja halafu namba mbili awe sepetu.
Mkuu umetisha SanaKuna huyu Zumarid hatar sana kwanza picha lianzaaaa kasepa na Jua chumbanj kwake siku iyoo dunia ilikaa ngizaa muda mrefu sana.....
Kuna huyu amberuty ndo kafanyaa bongo zima tanganyika yote inuke inyaaaaaaa...
Kuna huyu Zuwena wa diamond daaah kasepa na urith kabisaaaaa