Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

Mwanamke. Ukilinyambulisha hilj neno:
Mwana- Mtoto
mke- Mtu wa jinsia ya kike.
Mwanamke ni mtu ambaye Tabia zake ni kama mtoto, haeleweki nini anataka. Mtoto akiwa mdogo anaweza kukuambia akikua anataka kuwa mwalimu, kesho anataka kuwa nesi, kesho kutwa kuwa mama, mtondogo kuwa daktali.
Siku za mbele unaweza kushangazwa na mleta mada kuja na posti ya kinyume na hii.
 
Mh sasa ukichukua mwanaume si yale yale?
Mwana...mtoto
Mume...jinsia ya kiume
 
Hayo unasema wewe...yani hizi ni perceptions zako... Usiseme wanawake wanapenda hivyo....ila wewe unaoenda hayo..[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Haaahaaaaa...umeniacha hoi

Una mambo wewe lol..picha inahusika hii
 
sijasema usioge oga ila sio mwanaume unapaka deodorant,unapuliza tena body spray na pafyumu unanukia kuliko hata dada zako bna?

Ntaanza kuwa mwanamziki aisee...yananipita mengiπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Jinsi mwanamme anavyojiweka hutegemea na shughuli zake anazofanya..Huyo uliyemuweka shughuli zake zaruhusu.
wanawake hatufanani..
Pia wapo wakaka wengi wazuri na wako vizuri pia kitandani.Pia wapo.hao sura ambazo hazirlezeki wako vibaya.
Nb..Wanawake hatufanani!!Kuwa na hb inabd uwe unajiamini haswaa
 
Duuuuh...!!! Miss labda kwa ww ndo unapenda hvo lkn wanawake wengi wanapenda wanaume smart
 
Mkuu huyu dada nikupa vp tena hujaweka vitu??
Hebu muite hapa tuyajenge mkuu maana kuna sehemu jukwaa fulani nilimwona nikamtamani. dada yako kajaliwa bwana
 
wanaume wazuri na wavaaji sana wanapendwa na wanaume.[emoji23]
 
Mmh mimi hapana kwakweli. Unaweza kua na sura mbaya hlf hamna lolote and vice versa is true.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…