Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

Natafuta marafiki wa kuchati nao........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aah
 
Mimi nina ndevu zisizo na mpangilio, macho mekundu, sauti yenye mikwaruzo, naoga mara chache kwa wiki.
Je nafaa kwako miss?
 
hahaha mimi binafsi, napenda mwanamke anuke kwapa kidogo na marashi kidogo na papuchi nayo pia inuke kwa harufu yake original sio mtu ananukia marashi full time harufu yake haijulikani ni ipi
Big up . . [emoji106]
 
kwa wanaume wenzangu wote mtaosoma hii thread, please dont believe it, its a trap.
Ila kuna watu kawakuna kwelikweli mi uanaume wa kuamka asubuhi mtu hata kitanda hatandiki,vipisi vya sigara mezani na jivu chini nguo hazieleweki zp safi zp chafu ghetto ukikanyaga michanga mitupu viatu vimetupwatupwa tu hata shoerack hakuna soksi zimedumbukizwa hmohmo havipumui harufu tupu hpo bdo kuna vyombo alivyolia chakula tangu juzi vpo chini ya kochi yaani alimradi tu km pangoni ah...uanaume huo nliushindwa kiukweli jpo pia siungi mkono mtoto wa kiume kujireeemba cheni,kusuka,hereni,kujichubu,manukato km jini ila "utanashati" muhimu ile standard yaani so msimamo wng ctokuwa bishoo sanaaaaa wala kuwa mgumu!
 
Et Mrs Van uwe na mwanaume ananuka kikwapa mbaya zaid ukitoka nae yupo rough tuu
Hapana kwakwel. Kwanza ktk kitu sipendi ni kikwapa. Kama mtu niko interested naye na anakikwapa zawadi ya kwanza ni deodorant, body spray na perfume.
 
Mwanaume awe na mawe na ajue kumrithisha mwanamke,
Una mawe alafu hujuimchezo utasaidiwa tu
Unaujua mchezo alafu una mawe utahudumiwa .
 
Nahisi degree ya kusomea wanawake ni miaka 10000000000000000000000
 

Kwa kweli nimeipenda hii mpk dudu limesimama
 
Hamorapa apigiwa promo na Miss natafta
 
Wanawake it's your nature kutojiamin.. By the way hata Wanawake wenye Sura mbaya ndo wengi Wapo kwenye ndoa
 
Kidizaini hii wanaume tunakazi duh!
 
ebu subiri nivunge siku tatu bila kuoga alafu naenda kutongoza uku na smell kama beberu... naamini atanikubali tu! kwa mujibu wa Miss Natafuta
Hahahaaa umeacha niwe nacheka ovyo getoni kwang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…