Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

Me mpaka leo sielewi wanawake huwa mnaridhishwa na nini yan kuna wengine wanapenda kweli wanaovaa vizuri lakini mtoa mada haupo hvo ila nahc umeandika kujifurahisha sababu najua ukitoka out na bwana ako halaf ukawa unameet na rafiki zako wakiwa na mabwana zao ni lazima utataka mwenekano wake uwe mzuri ili na ww ucfiwe na wenzako. Kwa hyo mtoa mada umedanganya kidogo
 
Halaf naona km umemponda mbasha kwa kutumia lugha ya picha coz maneno yako hayana uhalisia na maisha halisi ya mwanamke wa sasa wa digitali
 
Nadhani unaojiongelea wewe sio wasichana wote maana kila mtu na mapenzi yake.
 
"Everything a woman does on a daily basis is colored by competition anxiety. Make up, clothing, shoes [etc]. Everything is borne from this competitive desire to achieve security with the best possible guy and make damn sure the girl next door doesn’t get him first." - RM

"Does not get him first"
 
Mm mnazidi kunichanganya walah😀
 
Kwa mwandiko huu, ndiyo nimeelewa umri halisi wa miss.
 
Sio kweli sio Kwa wote Kila mwanamke na vigezo vyake Ona kina kusah wanavyokimbiliwa, huyu mbasha mwenyewe pichani Kuna mwanamke hali halali Kwa kumpenda..... Kwahivo sio general... Ni kama wanaume Kuna akiona trako tu... Imeisha hiyo... Kuna mwingine anapenda sura nzuri.. mwingine sura personal.... Mwingine kimbaumbau... Kwahivo huwezi kugenorolize hivyo... Ila pesa imekuwa kigezo kikubwa sana Cha mapenzi ...
.
 
Kwa kweli kwenye hilo kundi mimi sipo. Napenda mwanaume msafi.
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…