Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

Ni suala la kisaikolojia zaidi. Mwanamke kuna vitu anahitaji kutoka kwa mtu anayemuita mume, kimojawapo ni ULINZI. That sense of being safe haipatikani kwa mwanaume wa kujiremba, sura nzuri na nyoro nyoro. Namna yako ya kuvaa na kuongea inaweza kumfanya mkeo aone kama anakaa na mwanamke mwenzake ndani.

Ni ukweli usiopingika kuwa, mwanamke hufurahishwa na ubandidu wa dume lake, kuanzia kwenye muonekano hadi kwenye mechi. Nyie jipodoeni tu kama wadada mkidhani mtapendwa kwa nguo zenu na manukato. Miss Natafuta leo umepiga ikulu
 
wanaume wanadai eti hatujui tunataka nini.tukiwaambia tunataka hivi wanasema sisi hatujitambui .eti mkuu mwanaume unakuwa msaaafi mpaka unakera kweli ?
 
hawa viumbe bana, wanapenda tuwe wasaf af wachaf, warefu af wafup, tuwe na hela af tucwe nazo, wakal af wapole, wanene af wembamba, wazur af tuwe na sura mbaya, tupendeze af tucpendeze duu, kama mung akuwaridhsha je? mwanaume ataweza?
Waeleze!!!.....hivyohivyo unavyopigilia kuna duu anazimika, wengine wanaangalia your potential[emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…