tarki abdallah
Senior Member
- Dec 10, 2016
- 158
- 97
Afadhali na sisi kumbe kina kapuku wa fedha mnatusamini,sisi kazi yetu mtaji wa masikini tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yes kutokana na huko bangi ni bei rahisi kuliko sigaraHyo kitu inapatikana chuga tu hakuna kwengne
povu au...??[emoji1] [emoji1] .....nyie ndo hamjui mnataka nini?
who is to be trapped ?kwa wanaume wenzangu wote mtaosoma hii thread, please dont believe it, its a trap.
Mambo mengine ni mashauzi tuwaambie mzee ni haki kweli?
Kweli kabisa.. Lakini mbuzi anatomb..a mbuzi. Na ndio maana huangaiki kumuambia mbuzi mahitaji ya moyo wako.. Unaniambia mm ambaye Nina uwezo wa kutimiza hamu zako.. Na mm mwenye huo uwezo sitaki kusikia habari za ukiwa hivi nakupenda, ukiwa vile sikupendi.. Mm nakuweka sawa kitandani, wa kumpenda utapata mbele huko.hata mbuzi anato..
umeona eeh mkewe hapo roho saafi
those who`ll believe money isn`t important, as the lady said.who is to be trapped ?
mwanaume anaooga mpaka keroNapenda mwanaume mwenye sura ngumu ,na pia mfukon kuwe na mawe co awepo awepo tuu anajipodoa mpk nione kero
Siku ya usafi leo , wikiend mapovu kawaida sana [emoji3] [emoji3] [emoji12]povu au...??[emoji1] [emoji1] .....
We waache wajipodoe tu sisi tunawamegea mademu zao kiaina.Ni suala la kisaikolojia zaidi. Mwanamke kuna vitu anahitaji kutoka kwa mtu anayemuita mume, kimojawapo ni ULINZI. That sense of being safe haipatikani kwa mwanaume wa kujiremba, sura nzuri na nyoro nyoro. Namna yako ya kuvaa na kuongea inaweza kumfanya mkeo aone kama anakaa na mwanamke mwenzake ndani.
Ni ukweli usiopingika kuwa, mwanamke hufurahishwa na ubandidu wa dume lake, kuanzia kwenye muonekano hadi kwenye mechi. Nyie jipodoeni tu kama wadada mkidhani mtapendwa kwa nguo zenu na manukato. Miss Natafuta leo umepiga ikulu