Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

Ndiyo maana mbeibe kila nikinunua nguo anaziponda dah? Eti sijui kuchagua nguo, mara ipyax usinyoe ndevu zote kwani zinanyegesha kichizi. Kuna siku nilinyoa zote nikanuniwa wiki nzima duh. Acha niendelee kua rough.
yaani mwanaume mwenye ndevu flani hivi rafu rafu ni mtamu balaa nyie hamjui tu .mnaondoa utamu wote
 
Hao hao wanaume masharobaro unaowaponda ndo uliowashobokea hlf wakakuumiza, uchungu wako unauleta humu jf ukidhan kumchuna mwanaume ndo unamkomoa, JF sio sehem ya kupunguzia hasira na stress za mapenzi..umethikia dada eeh Miss Natafuta
 
Kuishi na mwanamke kweli yahitaji akili sana..Leo watakwambia tunataka uwe hivi, kesho tena hivi...Yaani inshort hawaeleki..... WANAUME TANGU LINI TUMEFANYA DUNIA IKAWA SEHEMU NGUMU YA KUISHI...??

Duuuh...Lakini huo ni mtazamo wako siupingi
 
Hivi kwanini mwanamke akileta maoni take humu huwa mnakimbilia ameachwa?
 
sijamponda mtu mahali mkuu ! samahani kama nimekukwaza.wewe endelea kuoga maana unit za maji si unalipia mwenyewe?
 
Usiangalie wanawake wanataka nini angalia mwanamke wako anataka nini,ukifwatilia ya kila mwanamke utawehuka tunatofautiana
 
Kuishi na mwanamke kweli yahitaji akili sana..Leo watakwambia tunataka uwe hivi, kesho tena hivi...Yaani inshort hawaeleki..... WANAUME TANGU LINI TUMEFANYA DUNIA IKAWA SEHEMU NGUMU YA KUISHI...??

Duuuh...Lakini huo ni mtazamo wako siupingi
asante mkuu hata ukipinga sawa tu huo ni mtazamo wangu
 
3190495ada3df4f1a91a06b3d8ad7469.jpg
25e6aaa6548d6893fca0f50d6791411f.jpg
8581449edc8fef4f7545b6cc882a83a3.jpg
 
Hivi kwanini mwanamke akileta maoni take humu huwa mnakimbilia ameachwa?

Kuna sehem nimeandika kuwa mtoa mada ameachwa? Hata hivyo Kwani kuumizwa kimapenzi kuna-include kuachwa tu?? Mbona una-make up vi2 ambavyo hata sikuviandika? agata edward
 
Alisema mwanasaikolojia mmoja " Wewe sio mjinga kwa kushindwa kumuelewa mwanamke ila utakuwa mjinga ukijaribu kumuelewa mwanamke"
 
sijamponda mtu mahali mkuu ! samahani kama nimekukwaza.wewe endelea kuoga maana unit za maji si unalipia mwenyewe?

Hujanikwaza ila umeponda personal preference ya watu flan flani, kila mtu ana type yake ya mwanaume anaemtaka so dont generalize Miss Natafuta
 
Back
Top Bottom