Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

Mwanaume ameumba kufanya kazi,kua mlinzi wa familia,mwanaumbe kukaza msuli mwanaume ni kuwamsafi kiaina ila isipitilize kwana utakuta wengine..mikono haina tofauti ya ya miss tz.msafi mpaka anakelaa
Akija kwangu nampa jembe au nyundo akafanye kazi ili ajitofautishe na mwanamke mlembo
Ndo maana siku hizi idadi ya mashoga imeongezeka kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na zama za nyerere na mwinyi..MWANAUME KAZI ndio mambo mengine yanafuate
 
Kuwatambua hawa Viumbe KE inabidi liwe somo la lazima kuanzia darasa la kwanza mpaka PhD kwa wanaume angalau tupate hata Basic details kuhusu KE...
 
Women don't come with instructions wallahi [emoji23][emoji23][emoji23]

A man can be all that but treats you wrong in every aspect, that's a turnoff point kwakweli

Ukishapitia mengi duniani humu, utajua tu kuwa vitu vingi sana doesn't matter, tunajiongelesha tu
your true darling ! tunaongea tu hapa na pale.ila mwisho wasiku tunaelimishana
 
Ila bora miss umeongea ukweli siku hizi wanaume wanapaka macream na kufanua scrub usoni mara cjui nywele kupaka mi rangi ...upuuzi tu mwanaume unatakiwa uwe simple nyoa kawaida ,vaa nguo inayokutosha siu inayo bana mpaka kalio linaonekana km la dem.wanaume wenzangu acheni hizo kun asiku mtavaa na madela.achaneni na mifasheni ya kipuuzi tutunze heshima ya ngosha
 
ebu subiri nivunge siku tatu bila kuoga alafu naenda kutongoza uku na smell kama beberu... naamini atanikubali tu! kwa mujibu wa Miss Natafuta
Itabidi ufanye majaribio yako kwa miss Natafuta mwenyewe.

Maana hawa viumbe unaambiwa siku zote wanaoenda vitu ambavyo havipo.
 
Mwanaume ameumba kufanya kazi,kua mlinzi wa familia,mwanaumbe kukaza msuli mwanaume ni kuwamsafi kiaina ila isipitilize kwana utakuta wengine..mikono haina tofauti ya ya miss tz.msafi mpaka anakelaa
Akija kwangu nampa jembe au nyundo akafanye kazi ili ajitofautishe na mwanamke mlembo
Ndo maana siku hizi idadi ya mashoga imeongezeka kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na zama za nyerere na mwinyi..MWANAUME KAZI ndio mambo mengine yanafuate
sijui mtu anavaa hivo ili iweje hivi unaulambaaa ili iweje
Ila bora miss umeongea ukweli siku hizi wanaume wanapaka macream na kufanua scrub usoni mara cjui nywele kupaka mi rangi ...upuuzi tu mwanaume unatakiwa uwe simple nyoa kawaida ,vaa nguo inayokutosha siu inayo bana mpaka kalio linaonekana km la dem.wanaume wenzangu acheni hizo kun asiku mtavaa na madela.achaneni na mifasheni ya kipuuzi tutunze heshima ya ngosha
 
Itabidi ufanye majaribio yako kwa miss Natafuta mwenyewe.

Maana hawa viumbe unaambiwa siku zote wanaoenda vitu ambavyo havipo.
hahah! natumaini atapita hapa uyu miss natafuta
sijui kama atakubali!
 
Hamnaga misimamo nyie wanawake leo umeamua kuwa bibi kabisa hizo ndo akili
 
Ila bora miss umeongea ukweli siku hizi wanaume wanapaka macream na kufanua scrub usoni mara cjui nywele kupaka mi rangi ...upuuzi tu mwanaume unatakiwa uwe simple nyoa kawaida ,vaa nguo inayokutosha siu inayo bana mpaka kalio linaonekana km la dem.wanaume wenzangu acheni hizo kun asiku mtavaa na madela.achaneni na mifasheni ya kipuuzi tutunze heshima ya ngosha
mwanaume ananyoa ndevu kila saa si muache ndevu ziote jamani?
 
Tutasikia mengi utawala huu kumbe mpk harufu ya kwapa inawavutia?[emoji13] [emoji125] mm mbio
 
Ndiyo maana mbeibe kila nikinunua nguo anaziponda dah? Eti sijui kuchagua nguo, mara ipyax usinyoe ndevu zote kwani zinanyegesha kichizi. Kuna siku nilinyoa zote nikanuniwa wiki nzima duh. Acha niendelee kua rough.
 
Back
Top Bottom