Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

Zamani kipindi nasoma Mbeya,nilikua natumia njia ya kuvaa jeans na t-shirt kuwanasa watoto wa st.Francis kila ijumaa wanapoenda weekend na yale mabegi yao yale.Tulikua na kasumba hiyohiyo kua ukiniga tai pamoja nakuchomekea suruali ya kitambaa,halafu ukiwa unaongea lugha yakwenye kitabu(kiswahili sanifu),huwapati wale watoto.
 
Miss Natafuta, kwa kukusaidia tu kidogo kuna madada aliwahi kuniambia kitu kama hicho, lakini akasema kuwa "wanawake wanaojitambua ndiyo huwapenda wanaume kama uliowaelezea wewe".

Wanawake wengi siku hizi wanawapenda wale wanaowaita "mahandsome boys".
 
Nazani unaongea kinyume maana kesi za wanaume kufanya vulugu na kujinyonga baada ya kuachwa ni nyingi kuliko za wanawake.
Mmh lakini kati ya mwanaume na mwanamke..maumivu yake ya kuachwa hudumu zaidi ni nani kama sio nyie wanawake
 
Wanawake kweli sigara nyota, hujui mbele wapi na nyuma! Ukinuka kwapa mwanaume hajipendi, ukinuka mguu masharti yakuingia ndani yanaanza hadi unawe miguu nje! Ukinuka mdomo unaitwa mchafu, kipi ni kipi.
 
Mmh lakini kati ya mwanaume na mwanamke..maumivu yake ya kuachwa hudumu zaidi ni nani kama sio nyie wanawake
Mwanamke kaumbiwa kuweke vitu rohoni hiyo ni nature but mwanamke ni mvumilivu hakuna mfano,ndomana mwanamke akitelekeza familia ni wanaume wachache wanaweza kumudu kuiendeleza lkini ni tofauti na mwanamke atasimama imala.
 
Hapo kwenye jasho la kwapa umenipata, hua unapenda pia mavu-mba?😀😀
 
Wanawake mna vigezo na masharti mengi sana...

Mnapenda vingi sana na mnachukia vingi sana...

Ila kwa mwanaume anayevaa mavitu mengi mengi sana kiasi kwamba anaonekana kama duka linalotembea haijakaa sawa... Kiasi kwamba hata akipitishwa kwenye mashine ya ukaguzi...
Daah ni kupotezeana muda...


Cc: mahondaw
 
Wanawake kweli sigara nyota, hujui mbele wapi na nyuma! Ukinuka kwapa mwanaume hajipendi, ukinuka mguu masharti yakuingia ndani yanaanza hadi unawe miguu nje! Ukinuka mdomo unaitwa mchafu, kipi ni kipi.
 
hawa viumbe bana, wanapenda tuwe wasaf af wachaf, warefu af wafup, tuwe na hela af tucwe nazo, wakal af wapole, wanene af wembamba, wazur af tuwe na sura mbaya, tupendeze af tucpendeze duu, kama mung akuwaridhsha je? mwanaume ataweza?

Kuwa msafi, mrefu fulani kama nanii..., Uwe na hela, kuwa mkali (sio mpigaji au mtukanaji, ukali fulani hivi yani nawaza hapa nimechelewa hubby namtafutia hubby pozi la kumuelewesha),

Usiwe Kagame wala Le Mburalaz,( Hivi Maulid Kitenge ni Mwembamba eeh?

Sura sisemi ila kuna mkaka enzi zileee EATV inaitwa Chanel 5 anaitwa Adam Mubago ile sura yake.

Kupendeza muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…