Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

kwa wanaume wenzangu wote mtaosoma hii thread, please dont believe it, its a trap.
It's not about trap huyo miss anachosema inshort ni kuwa normal don't do too much....unakuta wa kiume kiduku bandidu chake, hereni hapo bado hajaanza kunyanyua nyusi,mdomo kaweka kama samaki alafu unakuta anatoa sauti puani kha!!! Kwakwel she has a point
 
Mwanamke akifikia hatua hiyo ujue ameshachezewa na akachoka...
 
Me ndo maana huwa nawakojoza tu nasepa zangu kimtindo..!!
 
Kwa hiyo tuogo mara mbili kwa mwezi siyo?..
 
hawa viumbe bana, wanapenda tuwe wasaf af wachaf, warefu af wafup, tuwe na hela af tucwe nazo, wakal af wapole, wanene af wembamba, wazur af tuwe na sura mbaya, tupendeze af tucpendeze duu, kama mung akuwaridhsha je? mwanaume ataweza?
Ukiwa na kibamia lawama,
Ukiwa na muhogo lawama
Kwel nyie mpo mpo tu kama sigara nyota mbele na nyuma kote sana tofauti maandishi...
 
Mwanamke kaumbiwa kuweke vitu rohoni hiyo ni nature but mwanamke ni mvumilivu hakuna mfano,ndomana mwanamke akitelekeza familia ni wanaume wachache wanaweza kumudu kuiendeleza lkini ni tofauti na mwanamke atasimama imala.
Alaa kumbe ee
 
angeandika kama ulivyoandika ww ningemuunga mkono. alivyoandika yy, ni kuwa anataka wanaume "wasiojipenda" wasiojua kuvaa, wanuke makwapa, wasiwe wanamvuto etc. niamini ukifata alichosema utaambuliwa wanawake wa dizaini kama hiyo.
 
Usiangalie wanawake wanataka nini angalia mwanamke wako anataka nini,ukifwatilia ya kila mwanamke utawehuka tunatofautiana
Hiki tu ndo nimeelewa, By da way any thin too much z harmfull, hata wanawake nao wakizidi Nayo n kero, nywele sio zako, kucha sio zako, ngozi sio yako makalio sio yako, kucha sio zako kope sio zako ,hakuna mwanaume mwenye akili atakayependa huo upuuzi. Live standard life n fight 4 dat lyf.
 
Daima!...

Ndugu taifa la bwana leo ni jumapili ya 32 ya mwaka B wa kanisa.

[emoji445][emoji445]Bwanaaaaa aweee naaaanyiiii. Nimemiss.
Kesho uende church, usiishie kumiss tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…