Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

wanawake hamueleweki mnataka mwanamme yupi yani, wakipiga pamba ndo madongo yote hayo, wakiwa ugly ndo vile vile ,Anyway you lady cant get enough in love but not to that standing

*so weird
 
Hahahaha upo sawa sasa,mimi hapa chaguo lako njooooooo
 
wanawake hamueleweki mnataka mwanamme yupi yani, wakipiga pamba ndo madongo yote hayo, wakiwa ugly ndo vile vile ,Anyway you lady cant get enough in love but not to that standing

*so weird
We angalia wa kwako anataka nini, hayo mengine ukiyawaza kwa kugeneralize utapasuka kichwa bureeeee.
 
Upo sahihi sana Dada yangu.
Wengi hawajui thamani ya harufu mzuri ya asili.Unakuta kijana au binti anatumia gharama kubwa sana ya vipodozi ili tu aikate harufu yake ya asili.
Wajifunze mfano wa wasichana wa kazi wanapovunja ungo nyumbani kwa tajiri wake Mara nyingi ndoa zinavurugika.Moja ya sababu ni harufu mzuri ya asili inayowavutia wanaume.Wakati mama mwenye nyumba amejaza kabati vipodozi ambavyo vinaondoa harufu yake ya asili inayovutia wanaume.
Kwa mifano hii ndivyo wanawake wanavyotuona sisi ila wanashindwa ujasiri wa kutuambia ukweli.Asante sana sister kwa ukweli wako.
 
Nikweli mwanamke wa kweli huwa na urembo wa kiasi tuu .
 
Nakuunga mkono kwakweli
 
We angalia wa kwako anataka nini, hayo mengine ukiyawaza kwa kugeneralize utapasuka kichwa bureeeee.
nkianza kufkilia vile wangu anataka nn ntakuwanga nafanya change kila siku,leo atataka nipige pamba tena nguo ananchagulia , kesho kaona mtoko wa rafikie uko normal, ananipa matambala nivae eti utakuwa powa

*only my mam ndo huwanga namuamini akinambie umependeza au no , huwa na change but you dadaz put u on deep trash [emoji35] [emoji35]
 
Uuuiiii!! Tumeingiliwa, hehehehe.... Hii nimeshare kwenye whatsapp group, aisei watu wamechangamka balaa.....bibie una mambo. Haya mimi hapa rough, tena huwa nanuna na mindevu hadi barabarani wananipisha.
 
mmmh huo ndo uanaume sasa
 
Nilishawahi kutoswa kisa navaa nguo ile ile kumbe ninazo nyingi ila zinafanana!Utasikia wanasema,yule kaka smart jamani mi nampenda!Hawaeleweki hawa viumbe ndio maana ukiwasikiliza unaweza hats kuvalushwa gauni!Ni mwendo wa ubabe tu!Si wa kusikiliza hawa viumbe
 
kweli mkuu nimepata point kuhusu wanawake pia.huwezi kucheza na nature yaani
 
wewe nikidate na wewe utaanza kununua nguo upya wacha jeuri
 
Hizo zote story mwanamke akiweza kupata bigg Orgasm akiwa na wewe ambayo stim yake ni kama stim anayopata mbwia unga wallah hata uvae gunia...yuko na wewe tuu.... Hata akufumanie mara elfu... Ye anasema nampenda hivo hivo
 
Hata Mimi pia na mpenda demu ambaye yupo simpo si wale wanaovaa kila kitu cha bandia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…