Wanawake hawa wa "jf" ni mfano wa kuigwa...nawapenda sana

Kwa mwanamke yoyote ambae hajatajwa anijulishe. Nawapa shout out wote leo kama
*umesahaulika
*hujawahi kutajwa hata siku moja
Dawa ya mvuto pia nitawapa bure leo ofa. Natambua umuhimu na uwepo wenu
Hhahaa
 
ila we nae umeingilia mlango wa uwani ebu rudi kwa ID yako ya awali.
 

Thank you
nafiti kabisa kuwa mwanamke.
 
Huu kweli sio mchanyato huu!lazima kuna vidume vya mbegu humu!
 
Ha ha haa...
 
1.sky elcat
2.miss chagga
3.miss natafuta
4.feitty
5.scorpio me
6.Nifah
7.cute b
8.heaven sent
9.Geniveros

Jamani nawakubali sana girls

Ilaa kuna huyu hapa
1.Monicca
Simuelewagi
Sijui kala maharage ya wapi huyuuuu[emoji38]
Kuna watu wanashobo hii dunia!! Kwa shobo hizi kweli ukipewa mimba utamkumbuka alokupa?
 
1.sky elcat
2.miss chagga
3.miss natafuta
4.feitty
5.scorpio me
6.Nifah
7.cute b
8.heaven sent
9.Geniveros

Jamani nawakubali sana girls

Ilaa kuna huyu hapa
1.Monicca
Simuelewagi
Sijui kala maharage ya wapi huyuuuu[emoji38]
Umemsahau Preta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…