Wanawake hawa wa "jf" ni mfano wa kuigwa...nawapenda sana

Wanawake hawa wa "jf" ni mfano wa kuigwa...nawapenda sana

Aiseee! We Mkuu japo nina michepuko lakini angalia sana usimuambukize mke wangu maradhi. Nakuomba sana. Kula lakini iache salama
scorpio me kuja huku uone....? Umeamini?
Tangu lini mtu anayekupemda ambaye hana vimada aruhusu mkewe aliweee..?
Hahaha haya ni pm nikupe matukio yake mengine utashtuka mengine hadi picha nitakutumia wasapu
 
unauhakika kuwa ni wakike au kwa vile profile ni pc za madem
think twice
 
1.sky elcat
2.miss chagga
3.miss natafuta
4.feitty
5.scorpio me
6.Nifah
7.cute b
8.heaven sent
9.Geniveros

Jamani nawakubali sana girls

Ilaa kuna huyu hapa
1.Monicca
Simuelewagi
Sijui kala maharage ya wapi huyuuuu[emoji38]
Wengine hapo mbona males, pia kuna shemales hapo.
 
Back
Top Bottom