Wanawake hawa wa "jf" ni mfano wa kuigwa...nawapenda sana

Wanawake hawa wa "jf" ni mfano wa kuigwa...nawapenda sana

Hahahha! Mkuu Saint Ivuga mimi siwataki new member. Ninae mke tayari,we muhonge tu hiyo hela alafu baadae analeta home tuikandamize huku ukiwa huonji chochote.
Ha ha ha... Ila naona Voda network ipo chini nitumie namba yake ya Tigo nimrushie kwenye tigo pesa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Sema kweli; mimi najua wewe ni KE mkuu siku zote, tutathibitishaje kama wewe ni KE au ME?
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Sema kweli; mimi najua wewe ni KE mkuu siku zote, tutathibitishaje kama wewe ni KE au ME?
FB_IMG_1465522530111.jpg
 
duh kwa mfano ningekuta jina langu limeandikwa na mimi ni mwanamke wa kuigwa sijui ingekuwaje hizo fujo zake
 
Back
Top Bottom