Wanawake hawa wa "jf" ni mfano wa kuigwa...nawapenda sana

JF sasa hivi ni ngumu sana kuwaelewa member wake

Mods hamna acces ya kunisaidia nisione au kuniondolea kabisa hili jukwaa la MMU?

Wanawake hawaeleweki wanaume nao vile vile id za kike wanakuja nazo wanaume na za kiume wanakuja nazo za kike wtf!
 
Kweli mkuu
Wote wazuri peace & love, ila list yake amebagua wengi sana hajawaandika, mimi mwenyewe nimewaandika mpaka nahisi nitajaza sever
Shida ya wengi humu wanachukulia tofauti za kiitikadi na tofauti ya mawazo ndio ubaya/uadui. Tutofautiane kimtazamo/mawazo lkn mwisho wasiku tubaki wamoja
 
JF sasa hivi ni ngumu sana kuwaelewa member wake

Mods hamna acces ya kunisaidia nisione au kuniondolea kabisa hili jukwaa la MMU?

Wanawake hawaeleweki wanaume nao vile vile id za kike wanakuja nazo wanaume na za kiume wanakuja nazo za kike wtf!
Kuna aliyetukana hapa au kuomba hela? Kwa kutumia id fake?
 
Waweke niwaongezeee hapaa
Sawa mkuu ngoja niendelee kukutajia good people: usinichoke[emoji1]
*cocochanel
*beutygal
*housegirl
*Afrodenz
*chikira mtabari
*iparamasa
*beth
*Msindikizaji
*Asmaa80
*Patience 123
*Madam b
*Chinchila coat
*Miss Nedy
*Lady furahiaaa
*Everhurt
*Donatila
*Angel Nylon
*Malyakishu
*Clkey
*Mulhat Mpunga
*Nimpende nani
 
1.sky elcat
2.miss chagga
3.miss natafuta
4.feitty
5.scorpio me
6.Nifah
7.cute b
8.heaven sent

Jamani nawakubali sana girls

Ilaa kuna huyu hapa
1.Monicca
Simuelewagi
Sijui kala maharage ya wapi huyuuuu[emoji38]
Wanafaa kuigwa kwa yapi??
 
JF wanachama halisi hawazidi 150k ..
 
Tatizo hampendi changamoto na kukosolewa , mtu akikukosoa unamchukia...ufike wakati tukomae ki akili na kutambua kuwa hatuwezi kuwa na ufahamu sawa.
HatujaribiwiπŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…