Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashindwa kuelewa kuhusu Jimena huyu si mwanaume?? Au huwa namuoverlook!!Ongeza katika list
*Evely salt
*jje's
*Diva beyonce
*_Aysher
*Jimena
*Heaven on earth
*Joanah
*Geniveros
*Shunie
*Atoto
bikira latifah asante kwa kutonielewa, binafsi napenda sana jinsi nilivyo.1.sky elcat
2.miss chagga
3.miss natafuta
4.feitty
5.scorpio me
6.Nifah
7.cute b
8.heaven sent
Jamani nawakubali sana girls
Ilaa kuna huyu hapa
1.Monicca
Simuelewagi
Sijui kala maharage ya wapi huyuuuu[emoji38]
Aiseeebikira latifah asante kwa kutonielewa, binafsi napenda sana jinsi nilivyo.
Nawewe si wa kwanza kushindwa kunielewa.. Hatuwezi kufanana wote hata siku moja ndiyo maana wewe waitwa bikra latifah nami naitwa moniccca.
Hata ukija ofisini wengi watakwambia hawanielewi..pamoja na kutokunielewa lkn bado kuna wengine wengi wananielewa sana tu.
Pitia post na 30Lol wengine mnatubagua
Hatujaribiwi🙄🙄🙄
Thnx bby salimmimi mwenyewe nakukubali sana Bikira
Wewe umepishana nalist kama wengine walivyopishana na mkopo.Mimi wana Jf wote tu nawakubali kwani ata unapopishana nae kauli ni changamoto za kawaida tu zakiubinadamuLol wengine mnatubagua
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cena naona unawamaliza wanawake wote wa JF
Usimsahau richaabra japo yuko katika kipindi cha BAN
Naskia kala banView attachment 427090
Huyu hapa richaabra na Avatar yake[emoji1]
Ngoja wenyewe waje..Huyo namba 1 na 2 ni walevi lol![emoji1]
Mi simoNgoja wenyewe waje..
Lazima uwepo,wewe umelianzisha yeye akalimaliza,lazima nikusemelee kwa miss chagga akutwange ya mbavuMi simo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 427090
Huyu hapa richaabra na Avatar yake[emoji1]
kwani ndo raviy huyuna nyie akina rayyoungr mnadai haki sawa??
Khaaaa hahahaaaa cjaona kitu mm usinisemee bure[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Iyo inaitwa nangoja ageuke
we ni unanitaja kwenye hawa wamama na mie ni mbaba lolzSawa mkuu ngoja niendelee kukutajia good people: usinichoke[emoji1]
*cocochanel
*beutygal
*housegirl
*Afrodenz
*chikira mtabari
*iparamasa
*beth
*Msindikizaji
*Asmaa80
*Patience 123
*Madam b
*Chinchila coat
*Miss Nedy
*Lady furahiaaa
*Everhurt
*Donatila
*Angel Nylon
*Malyakishu
*Clkey
*Mulhat Mpunga
*Nimpende nani