Wanawake hawa wa "jf" ni mfano wa kuigwa...nawapenda sana

Wanawake hawa wa "jf" ni mfano wa kuigwa...nawapenda sana

haha asee wote mnioe sasa...
Sasa wewe unamganda huyo Compact wa nini, anaonekana yuko bussy muda wote...
Afu ile thread yake aliyeileta leo asubuhi kuwa katapika baada ya kuleweshwa na wadada wa corner bar uliiona kweli? Itafute ipo
 
scorpio me bby usimsikilize huyu. Unajua kabisa usiku wote tulilala wote na tulivyoridhishana na hakika hakuna uzi wowote nilioleta kuhusu mambo ya hao anaodai. Hizi ni njama tu za Saint Ivuga kutaka kutuachanisha lakini haitawezakana
 
😀😀😀aseee sijaiona,unamchongea sio...
Aaa! Simchongei hata.. Mbona thread yenyewe imewnda mbali sana kila mtu anaijua. Yani unaaibishwa sana humu ndani.
Jamaa alitapika walivyomlazimisha alambe .
Wewe komaa naye tu
 
Pitia post na 16 nimekutaja mkuu.
Kipindi namaliza A'level mkuu wa shule yetu alikuwa anaitwa Kaaya unamfahamu?? Jina lako umenikumbusha mbali sana mkuu Minaki high school
Aaa kiongozi kumbe umepita Minaki.
Mimi ndio nilichora ile ramani pale kwenye geography room.
Kaaya bado yupo Minaki?
 
Back
Top Bottom