Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Ha ha ha... Ila naona Voda network ipo chini nitumie namba yake ya Tigo nimrushie kwenye tigo pesaHahahha! Mkuu Saint Ivuga mimi siwataki new member. Ninae mke tayari,we muhonge tu hiyo hela alafu baadae analeta home tuikandamize huku ukiwa huonji chochote.
Ukiona hivyo umefikia limit ya PM[emoji1]. Umezidisha idadi ya PM kwa sasa msg haziingii wala hazitokiPoa ngoja niangalie nikujibu.. Umetuma namba kabisa ? Mimi pm yangu haijibu .. Nikiandika meseji haziend.
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Sema kweli; mimi najua wewe ni KE mkuu siku zote, tutathibitishaje kama wewe ni KE au ME?
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Sema kweli; mimi najua wewe ni KE mkuu siku zote, tutathibitishaje kama wewe ni KE au ME?
Hakuna haja ya kupata ya Tigo,tumia hiyo hiyo ya Voda mtandao ukikaa vizuri Mkuu!Ha ha ha... Ila naona Voda network ipo chini nitumie namba yake ya Tigo nimrushie kwenye tigo pesa
Chato moja hiii
Pm zinaingia .. Ya bikra nimeiona ila kila nikijinu inagoma kwenda ndio maana nimemwambia anipm namba nijinh kwenye nambaUkiona hivyo umefikia limit ya PM[emoji1]. Umezidisha idadi ya PM kwa sasa msg haziingii wala hazitoki
Nataka ya tigo. Mtandao huo ndio mzuri zaidiHakuna haja ya kupata ya Tigo,tumia hiyo hiyo ya Voda mtandao ukikaa vizuri Mkuu!
Mkongo man kutokea Jamhuri ya DC
Bebi meseji nimeiona ila nikijibu haziendi. Ukiiandika ten tuma namba ya wasapu kabisaView attachment 427171 ww tu bby
Mabali nangai motosokoMkongo man kutokea Jamhuri ya DC
Aiseee! We Mkuu japo nina michepuko lakini angalia sana usimuambukize mke wangu maradhi. Nakuomba sana. Kula lakini iache salamaBebi meseji nimeiona ila nikijibu haziendi. Ukiiandika ten tuma namba ya wasapu kabisa
nakukubali pia
Thanks mrembo.nakukubali pia