Wanawake hawajilindi na UKIMWI kama ilivyo kwa Wanaume

Wanawake hawajilindi na UKIMWI kama ilivyo kwa Wanaume

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,559
Reaction score
12,518
Kwasa ieleweke mapambano dhidi ya ukimwi hatawezi kumalizwa na upande mmoja peke yake, nijambo linalohitaji ushirikiano wa pande zote katika utafiti wangu nimebaini wanawake wanahofia labda mimba kuliko ukimwi, hii inaweza kuchangiwa na ujinga ama kutokuwa na uelewa ama wameamua kupuuzia zipo hoja kadhaa kudhihirisha hilo

1. Ni nadra mwanamke kuhimiza matumizi ya Condom, mara nyingi sisi wanaume ndio tunaoamua tutumie au tusitumie kwa mwanamke kivyovyote ni sawa
2. Maambukizi yapo zaidi kwa wanawake kuliko wanaume kwa mujibu wa takwimu
3. Wanawake asilimia kubwa hawana uelewa kuhusu PEP na PRep kama ilivyo kwa upande wa wanaume.
4. Wanawake wanazingatia zaidi njia za uzazi wa mpango kuliko wanavyolinda afya zao dhidi ya magonjwa ya zinaa wakati wa ngono
5. Condom za kike haziuziki , lakini wanawake wanashiriki ngono , hii inonesha ni kwa jinsi gani wanawake hawajali afya zao nakutuweka sisi hatarini
6. Unaweza kumpima mwanamke HIV kwakutumia vile vipimo vya Fast HIV test akakubali na ukashiriki naye ngono bila yeye kuhitaji nawewe upime aone majibu yako🤣
7. Mwanamke aliyefanya ngono zembe anaweza kuwahi P2 bila kuchelewa kuliko anavyoweza kuwahi PEP

Baada ya hayo nitoe tahadhari kwa vijana , usimwamini mwanamke kwakuwa yeye hathamini afya yake kuwa makini . Wito kwa wote suala linalohusu ulinzi wa afya yako ni lako mwenyewe usitegemee mtu mwingine kukulinda jilende mwenyewe.
 
Back
Top Bottom