AYnay
JF-Expert Member
- May 7, 2026
- 1,704
- 4,504
Haupo mkuu, ni simulizi za kusadikika tuHivi ukimwi bado upo kweli.
Haupo mkuu, ni simulizi za kusadikika tuHivi ukimwi bado upo kweli.
hapana jamani najaribu kuweka mizani sawa, wengine tunasingiziwa tu😅We msichana mbishi sana! 😊
hapana jamani najaribu kuweka mizani sawa, wengine tunasingiziwa tu😅
Hivi ukimwi bado upo kweli.
Kwa wenye afya zenye mgogoro upoHivi ukimwi bado upo kweli.
ila ndo uniite "msichana" unapenda kunionea 😪,,,Unatakiwa ujilinde msichana, ndio ujumbe uliopo hapo. 😊
Watu wana tandaza miti balaa.😁😁😁 kwanini kibaha
lakini mi nishatoka kwenye usichana jamni saivi mimi ni binti tena wa makamo😊Wasichana ndio wabishi sana katika hii vita ya VVU. Ndio jilinde msichana. Hali sio shwari msichana. 😊
Uko wapi 😊lakini mi nishatoka kwenye usichana jamni saivi mimi ni binti tena wa makamo😊
Sawa lakin what if akikutana na mtu asiyetaka kumlinda?Katika wanawake zaidi ya 40 niliotembea nao mimi ndiye nilipambana tutumie kinga.
Kiasili mwanamke ni mtoto/baby/special group hata kama ni mama yako au ana cheo gani kutokana na hali hiyo tuendelee kuwalinda kama vifaranga
HahahaMwanamke ni chombo cha Ibilisi toka eden ukikaa vibaya ni lazima wakuunguze mbupu tu
HahahaIla ndio wanaoongoza kufuata masharti ya dawa kuliko wanaume ikiwa kati yao kaukwaa