Haupo mkuu, ni simulizi za kusadikika tuHivi ukimwi bado upo kweli.
hapana jamani najaribu kuweka mizani sawa, wengine tunasingiziwa tuπWe msichana mbishi sana! π
hapana jamani najaribu kuweka mizani sawa, wengine tunasingiziwa tuπ
Hivi ukimwi bado upo kweli.
Kwa wenye afya zenye mgogoro upoHivi ukimwi bado upo kweli.
ila ndo uniite "msichana" unapenda kunionea πͺ,,,Unatakiwa ujilinde msichana, ndio ujumbe uliopo hapo. π
Watu wana tandaza miti balaa.πππ kwanini kibaha
lakini mi nishatoka kwenye usichana jamni saivi mimi ni binti tena wa makamoπWasichana ndio wabishi sana katika hii vita ya VVU. Ndio jilinde msichana. Hali sio shwari msichana. π
Uko wapi πlakini mi nishatoka kwenye usichana jamni saivi mimi ni binti tena wa makamoπ
Sawa lakin what if akikutana na mtu asiyetaka kumlinda?Katika wanawake zaidi ya 40 niliotembea nao mimi ndiye nilipambana tutumie kinga.
Kiasili mwanamke ni mtoto/baby/special group hata kama ni mama yako au ana cheo gani kutokana na hali hiyo tuendelee kuwalinda kama vifaranga
HahahaMwanamke ni chombo cha Ibilisi toka eden ukikaa vibaya ni lazima wakuunguze mbupu tu
HahahaIla ndio wanaoongoza kufuata masharti ya dawa kuliko wanaume ikiwa kati yao kaukwaa