Wanawake hawajilindi na UKIMWI kama ilivyo kwa Wanaume

Hawa wamewekwa chini yetu tuwaongoze.
Hiyo ni nature.
hata kwenye maamuzi wanatutegemea sisi sana.
Masuala yanayouhusu afya ya mtu binafsi sidhan kama yanahitaji kuongozwa bali jukumu la kulinda afya yako ni lamtu binafsi , haya what if unayetegemea akulinde amedhamiria kukuambukiza?
 
Wanawake wanasema condom zinawawasha yale mafuta. Kwakweli kama ukipata demu hebu hata mpime kwa sababu ukienda nae goli la kwanza atakubali kwa condom lakini goli la pili atakataa condom na ataichomoa na kama mzuka umepanda utapiga peku halafu kesho yake utaamka na mawazo debe!
 
Hawa wamewekwa chini yetu tuwaongoze.
Hiyo ni nature.
hata kwenye maamuzi wanatutegemea sisi sana.
Mlinzi wa kwanza wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe. Jamii, mwanaume na mifumo ya kisheria ni second protector. Kwahiyo hili huyu second protector aweze kumlinda mwanamke na hatari inabidi kwanza mwanamke mwenyewe akubali kutoa ushirikiano kwa kukaa mbali na hiyo hatari. Hauwezi kumlinda mwanamke ambar yeye mwenyewe hataki kujiweka kwenye mazingira ya kulindwa

Mfano hapa jukwaani tunasisitiza mwanamke kuolewa akiwa bikira, na moja ya faida zake ni ilo suala la kuepuka magonjwa. Lakini tunapata mashambulizi makali kutoka kwa wanawake hao hao ambao msisitizo wetu wa bikira indirectly unasaidia kuwalinda hata wao wenyewe.
 
Huwa najiuliza kwa nini malaya wanapenda sana kuweka msisitizo kwenye matumizi ya condomu kuliko wasio malaya?
Malaya namaanisha machangudoa.
 
Ile nataka nichukue condom nivae, nashangaa amesha ishika na kuidumbukiza huko kavu kavu.

Ilibidi nifanye slow game na kumaliza haraka kuepusha michubuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…