Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,748
- 14,962
Malaya wapo safe san kuliko hawa tunaowaona ni Saint!..Wanawake wastaarabi ndo tatizo hao, wanaleta ukimwi, mana Huwa hawatumii Kinga mke wa mtu Kwa mchepuko hawatumii Kinga, Bora malaya professional humgusi bila Kinga na wanatahadhari balaa
πππ Trump kauchukua mazima na ARVs Zake.Hivi ukimwi bado upo kweli.
πππKibaha kwa Matihas panahitaji ELIMU ya ziada kuhusu UKIMWI
Wajeda, madavoo wa Malori, etcHilo Eneo Lina hatari
Na limeoza haswaa, πππJinsi watu wanavyofumuana.. kama kweli UKIMWI upo.. basi taifa limeoza..
Maana mhhhh
πππTatizo watu hawaoni kama ngwengwe ni shida kwa kuwa mbaazi zimewatia kiburi...
Kitambo ulikuwa ukiona namna ngwengwe inavyoporomosha afya za watu, madonda kila mahali, mabega juu basi unakuwa na adabu mno...
ππππ nimechekaa kifala sanaa, alooohWanawake wanasema condom zinawawasha yale mafuta. Kwakweli kama ukipata demu hebu hata mpime kwa sababu ukienda nae goli la kwanza atakubali kwa condom lakini goli la pili atakataa condom na ataichomoa na kama mzuka umepanda utapiga peku halafu kesho yake utaamka na mawazo debe!
Kwishaaaaaaaa!! πππIle nataka nichukue condom nivae, nashangaa amesha ishika na kuidumbukiza huko kavu kavu.
Ilibidi nifanye slow game na kumaliza haraka kuepusha michubuko
ukiskiskia kubebwa na maafriko ndo hii[emoji3]Kwishaaaaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
aisee [emoji851][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] Trump kauchukua mazima na ARVs Zake.
Hatariiiiii ππππukiskiskia kubebwa na maafriko ndo hii[emoji3]
Noumaaa!! πππaisee [emoji851][emoji28]
AloooWanawake wote Duniani ni sawa tu. Usipokumbuka kuvaa kinga wanakuacha tu uenjoy bila simile
nyie mnavaaga kondomu sindio?hapana jamani najaribu kuweka mizani sawa, wengine tunasingiziwa tuπ
ndionyie mnavaaga kondomu sindio?