Wanawake hawanaga akili wenyewe wanapoteza watu wenye malengo nao kwa upumbafu wao

Wanawake hawanaga akili wenyewe wanapoteza watu wenye malengo nao kwa upumbafu wao

Toredo0

Member
Joined
Mar 12, 2023
Posts
47
Reaction score
96
Ipo hivi wakati nipo chuo nilikutana na binti mmoja mzuri tu wakati nipo mwaka wa pili yeye yupo wa kwanza tumedumu katika mahusiano hatimaye mpaka mimi nimemaliza chuo nikamuacha yeye anaendelea kusoma.
pia wakati bado anasoma mimi nipo mtaani nikapigiwa pande nikapata kazi serikalini wakati huo wote bado tunamazungumzo mazuri sana pia tunakutana sana,kutokana wote tunaishi Dsm hap.

baada ya kupata kazi nimepangiwa mkoa fulani.Mimi nikaendelea na kazi na yeye bado wkati huo nna mazungumzo nae mazuri sana mpaka pale naye alipo maliza chuo akarudi nyumbani na tukaendelea kuwasiliana vizuri.
Wakati nipo kazini nikachukua uamuzi wa kuja kuendeleza elimu na chuo kikawa Dsm nimechagua nikaendlea na masomo,kumbuka binti naye naendelea nae kweny mahusiano sas kipindi nipo chuo mwaka wa mwisho binti nae akahitaji kuendelea na level ya elimu tena maana alikuw na diploma sasa akawa nae anahitaji kuendelea na degree bahati nzuri akaja chuo ambacho mimi naendelea kusoma
na hapo tunaona sana.
mimi nlikuwa nakuja nafanya paper na kuondoka naendelea na majukumu ya kiofisi lakni siku zote hizo mpenz wangu tunamazungumzo mazuri ni migogoro tu midogo midogo ya hapa na pale tu.
kumbuka mpaka hapo tushakaa kwenye mahusiano miaka minne (4) na mimi nilikuwa nna malengo nimuoe kabisa hapo nipo nae nawaza kuanza mipango ya barua.
kumbuka mimi huo mwaka ndo namaliza chuo tena yeye kaja yupo mwaka wa kwanza sas wakati nipo mwishoni namaliza Degree yangu nakumbuka alikuja geto siku hyo tumepoa nini…tunafrahi mara txt inaingia kwenye simu yake.
UKO WAP MCHUMBA?
kumuhoji vp naona anajitetea bas bana akaanza kujiliza flani hiv kwamba simuamini sjuw nini pale.
mara ooh we mwenyw mbn zinaingia nazionaga nakusamehe sijuwi nini……

Basi pale ile namba ikapiga akawa anaogopa kupokea basi mnyamwezi nikamwambia lete nikapokea jamaa akawa anaongea pale akawa ananielza bwana uyu dem yupo nae kitambo mara dem ndo alimtaka maneno kbao mwambaa anaongea.
mda wote dem analiaa tu anaomba samahani ilibidi nimwambie nenda home tutaongea sipo sawa nlikuwa nishapaniki kwasbb nisha investmest vitu vingi kwake.
Basi pale alitoka ikabidi asepe,dah dakika chache nafungua whatsap mchiz ananitumia picha na video yupo na uyo dem wngu na chat zao yani kwamb,dem wng ndo alikuw anajishobokesha yani kwa kila kitu.
Alafu kingine nimegundua jamaa winga tu kariakoo pale.Basi kuona hivo nini moyo ulima sana ikabdi nimchane kwamba siwezi kuendelea nae kwa vyote nilivyo vionaa,na siwez kusamehee chochot nakumbuka zilipigw simu nying sana txt 100 kidogo mm nkabrock namba….nikawa napokea simu kutoka kwa ndugu zke wanamuombea msamaha sas nikawa naona kama wananichanganya tu
basi baada ya kumaliza nikarudi zangu mkoa kuendlea na kazi yeye nikamucha dar, sjw hata kama chuo anaendelea
Bado mpaka sas anatumia tu namb tofauti , na watu kumuombea msamaha.MWANAMKE MSALITI HASAMEHEWI KAMWE
Wanawake ni watu wa kuishi nao kwa akili sana .
 
Back
Top Bottom