Wanawake hawanaga akili wenyewe wanapoteza watu wenye malengo nao kwa upumbafu wao

Hao viumbe ni hatari sana ,wanadanganyika kirahisi sana ,wanatema Big G kwa karanga za kuojeshwa.

Wameweka Tamaa mbele sana hasa hawa kizazi cha sasa.
Toredo0 King Kong III kwani mtoa mada wewe hujawahi m-cheat huyo girlfriend wako, mpaka utoe hukumu kali, bila kumsamehe hata mara moja.

Back to the topic inaonekana huyo manzi ana hisia na uyo winga kuliko alivyo na hisia na wewe mtoa mada, sema ndo ivo winga bado hajajipata kiuchumi, na hana muelekeo wa kumuoa bidada.
 
Nina kisa kama chako mkuu, sema mazingira tofauti, ndio maana kumwonea mwanamke huruma kwangu ni mwiko wengi wamechezea maisha yao kwa ujinga na kukosa akili
Nyinyi maisha yenu yako perfect na njia zenu zote ni njema?
 
Ipo hivi wakati nipo chuo nilikutana na binti mmoja mzuri tu wakati nipo mwaka wa pili yeye yupo wa kwanza tumedumu katika mahusiano hatimaye mpaka mimi nimemaliza chuo nikamuacha yeye anaendelea kusoma.
pia wakati bado anasoma mimi nipo mtaani nikapigiwa pande nikapata kazi serikalini wakati huo wote bado tunamazungumzo mazuri sana pia tunakutana sana,kutokana wote tunaishi Dsm hap.

baada ya kupata kazi nimepangiwa mkoa fulani.Mimi nikaendelea na kazi na yeye bado wkati huo nna mazungumzo nae mazuri sana mpaka pale naye alipo maliza chuo akarudi nyumbani na tukaendelea kuwasiliana vizuri.
Wakati nipo kazini nikachukua uamuzi wa kuja kuendeleza elimu na chuo kikawa Dsm nimechagua nikaendlea na masomo,kumbuka binti naye naendelea nae kweny mahusiano sas kipindi nipo chuo mwaka wa mwisho binti nae akahitaji kuendelea na level ya elimu tena maana alikuw na diploma sasa akawa nae anahitaji kuendelea na degree bahati nzuri akaja chuo ambacho mimi naendelea kusoma
na hapo tunaona sana.
mimi nlikuwa nakuja nafanya paper na kuondoka naendelea na majukumu ya kiofisi lakni siku zote hizo mpenz wangu tunamazungumzo mazuri ni migogoro tu midogo midogo ya hapa na pale tu.
kumbuka mpaka hapo tushakaa kwenye mahusiano miaka minne (4) na mimi nilikuwa nna malengo nimuoe kabisa hapo nipo nae nawaza kuanza mipango ya barua.
kumbuka mimi huo mwaka ndo namaliza chuo tena yeye kaja yupo mwaka wa kwanza sas wakati nipo mwishoni namaliza Degree yangu nakumbuka alikuja geto siku hyo tumepoa nini…tunafrahi mara txt inaingia kwenye simu yake.
UKO WAP MCHUMBA?
kumuhoji vp naona anajitetea bas bana akaanza kujiliza flani hiv kwamba simuamini sjuw nini pale.
mara ooh we mwenyw mbn zinaingia nazionaga nakusamehe sijuwi nini……

Basi pale ile namba ikapiga akawa anaogopa kupokea basi mnyamwezi nikamwambia lete nikapokea jamaa akawa anaongea pale akawa ananielza bwana uyu dem yupo nae kitambo mara dem ndo alimtaka maneno kbao mwambaa anaongea.
mda wote dem analiaa tu anaomba samahani ilibidi nimwambie nenda home tutaongea sipo sawa nlikuwa nishapaniki kwasbb nisha investmest vitu vingi kwake.
Basi pale alitoka ikabidi asepe,dah dakika chache nafungua whatsap mchiz ananitumia picha na video yupo na uyo dem wngu na chat zao yani kwamb,dem wng ndo alikuw anajishobokesha yani kwa kila kitu.
Alafu kingine nimegundua jamaa winga tu kariakoo pale.Basi kuona hivo nini moyo ulima sana ikabdi nimchane kwamba siwezi kuendelea nae kwa vyote nilivyo vionaa,na siwez kusamehee chochot nakumbuka zilipigw simu nying sana txt 100 kidogo mm nkabrock namba….nikawa napokea simu kutoka kwa ndugu zke wanamuombea msamaha sas nikawa naona kama wananichanganya tu
basi baada ya kumaliza nikarudi zangu mkoa kuendlea na kazi yeye nikamucha dar, sjw hata kama chuo anaendelea
Bado mpaka sas anatumia tu namb tofauti , na watu kumuombea msamaha.MWANAMKE MSALITI HASAMEHEWI KAMWE
Wanawake ni watu wa kuishi nao kwa akili sana .
Shikilia hapo hapo, hafai tena huyo.
 
Story yako haina tofauti na ya kwangu
 
Hatari kwakweli!
Ila inauma kwakweli umesumbuka kumfatilia mdada, unamhudumia, akilini unaeka matarajio makubwa na yeye, baadae unaona anamletea shobo mwanaume mwingine, ilhali izo shobo hajawahi zionesha kwako..

Tena mbaya zaidi uyo mwanaume anaeshobokewa kwa hela hakufikii hata nusu

Mwanaume hapo lazma uache kuhudumia 🤣🤣🤣 Hulda-Tamarri
 
Mie mvivu wa kuandika ningekandamizia na ya kwangu uzi upendeze huu.
X wangu kanifanya nisajili laini 12 ili tu asinipate na kupiga marufuku ndugu jamaa au rafiki kutoa namba zangu.

Mungu ampe furaha na amani X wangu huku nilipo natosheka sana sitaki kusema napata kila kitu as long na kula na kulala nikiwa na amani ni vizuri inatosha sana.
 
umenena mkuu hawanaga akili kabis
Mimi ilipita miaka mi3, kuamini kwamba sina mpango nae, ila aliomba sana na kutuma watu tofauti kumuombea msamaha, niliblock no. zaidi ya 50,nikisikia sauti tu kwenye blacklist. Baada ya kuoa ndio akapunguza kunitafuta
 
Ipo hivi wakati nipo chuo nilikutana na binti mmoja mzuri tu wakati nipo mwaka wa pili yeye yupo wa kwanza tumedumu katika mahusiano hatimaye mpaka mimi nimemaliza chuo nikamuacha yeye anaendelea kusoma.
pia wakati bado anasoma mimi nipo mtaani nikapigiwa pande nikapata kazi serikalini wakati huo wote bado tunamazungumzo mazuri sana pia tunakutana sana,kutokana wote tunaishi Dsm hap.

baada ya kupata kazi nimepangiwa mkoa fulani.Mimi nikaendelea na kazi na yeye bado wkati huo nna mazungumzo nae mazuri sana mpaka pale naye alipo maliza chuo akarudi nyumbani na tukaendelea kuwasiliana vizuri.
Wakati nipo kazini nikachukua uamuzi wa kuja kuendeleza elimu na chuo kikawa Dsm nimechagua nikaendlea na masomo,kumbuka binti naye naendelea nae kweny mahusiano sas kipindi nipo chuo mwaka wa mwisho binti nae akahitaji kuendelea na level ya elimu tena maana alikuw na diploma sasa akawa nae anahitaji kuendelea na degree bahati nzuri akaja chuo ambacho mimi naendelea kusoma
na hapo tunaona sana.
mimi nlikuwa nakuja nafanya paper na kuondoka naendelea na majukumu ya kiofisi lakni siku zote hizo mpenz wangu tunamazungumzo mazuri ni migogoro tu midogo midogo ya hapa na pale tu.
kumbuka mpaka hapo tushakaa kwenye mahusiano miaka minne (4) na mimi nilikuwa nna malengo nimuoe kabisa hapo nipo nae nawaza kuanza mipango ya barua.
kumbuka mimi huo mwaka ndo namaliza chuo tena yeye kaja yupo mwaka wa kwanza sas wakati nipo mwishoni namaliza Degree yangu nakumbuka alikuja geto siku hyo tumepoa nini…tunafrahi mara txt inaingia kwenye simu yake.
UKO WAP MCHUMBA?
kumuhoji vp naona anajitetea bas bana akaanza kujiliza flani hiv kwamba simuamini sjuw nini pale.
mara ooh we mwenyw mbn zinaingia nazionaga nakusamehe sijuwi nini……

Basi pale ile namba ikapiga akawa anaogopa kupokea basi mnyamwezi nikamwambia lete nikapokea jamaa akawa anaongea pale akawa ananielza bwana uyu dem yupo nae kitambo mara dem ndo alimtaka maneno kbao mwambaa anaongea.
mda wote dem analiaa tu anaomba samahani ilibidi nimwambie nenda home tutaongea sipo sawa nlikuwa nishapaniki kwasbb nisha investmest vitu vingi kwake.
Basi pale alitoka ikabidi asepe,dah dakika chache nafungua whatsap mchiz ananitumia picha na video yupo na uyo dem wngu na chat zao yani kwamb,dem wng ndo alikuw anajishobokesha yani kwa kila kitu.
Alafu kingine nimegundua jamaa winga tu kariakoo pale.Basi kuona hivo nini moyo ulima sana ikabdi nimchane kwamba siwezi kuendelea nae kwa vyote nilivyo vionaa,na siwez kusamehee chochot nakumbuka zilipigw simu nying sana txt 100 kidogo mm nkabrock namba….nikawa napokea simu kutoka kwa ndugu zke wanamuombea msamaha sas nikawa naona kama wananichanganya tu
basi baada ya kumaliza nikarudi zangu mkoa kuendlea na kazi yeye nikamucha dar, sjw hata kama chuo anaendelea
Bado mpaka sas anatumia tu namb tofauti , na watu kumuombea msamaha.MWANAMKE MSALITI HASAMEHEWI KAMWE
Wanawake ni watu wa kuishi nao kwa akili sana .
Pole. Ukiwa na mwanamke ambaye hujamkuta bikra kaa kwa kujitafakari sana. Weka probability ya kuachana any time ili ikitokea usijute. na usiwekeze kupitiliza
 
Toredo0 King Kong III kwani mtoa mada wewe hujawahi m-cheat huyo girlfriend wako, mpaka utoe hukumu kali, bila kumsamehe hata mara moja.

Back to the topic inaonekana huyo manzi ana hisia na uyo winga kuliko alivyo na hisia na wewe mtoa mada, sema ndo ivo winga bado hajajipata kiuchumi, na hana muelekeo wa kumuoa bidada.
acha tu mkuu weny malengo tunaonekana hatuna umuhimu
 
Mie mvivu wa kuandika ningekandamizia na ya kwangu uzi upendeze huu.
X wangu kanifanya nisajili laini 12 ili tu asinipate na kupiga marufuku ndugu jamaa au rafiki kutoa namba zangu.

Mungu ampe furaha na amani X wangu huku nilipo natosheka sana sitaki kusema napata kila kitu as long na kula na kulala nikiwa na amani ni vizuri inatosha sana.
bora uandike mkuu watu waendelee kujifunz
 
Back
Top Bottom