Wanawake hawanaga akili wenyewe wanapoteza watu wenye malengo nao kwa upumbafu wao

acha tu mkuu tunaumia kwa mengi
 
Naona kama umeandika kihuni huni kama vile wewe ndie winga au wasomi wa siku hizi ni kama sie tu wa darasa la saba.
 
"Nilikutana na bint mmoja mzuri"

Kila anayekuja na hizi stori lazima hayo maneno yawepo😁
 
Ume invest kikubwa afu unaacha hvhv kweli.....unasusaje mkuu

Huyu unamuekee mlangoni anakuwa kama dekio.... Adi afubae ndo unasepa
 
Hao ndo wanawake mzee, wanataka wasichonacho
 
Kwa uandishi huu inaonekana bado umepanki. Pole bro
 
Kipindi mko mbali ulikuwa utomb nje?
 
Hawa viumbe ni shida mwenyewe waifu alienda kusoma akajipatia na dume Sasa Mimi nimejua leo baada ya kufungua akaunti ya Facebook aliyo kuwa anatumia wakati huo yupo chuo ndiyo nikagundua mesenja za zamani walivyo kuwa wanapeana mautamu moyo wangu unamaumivu so nimemuacha kipindi hiki akiwa ananihitaji kwa ujinga Wake
 
Naona watu wanablame sana wanawake ila hata wanaume pia wapo wengi sana wa hivyo mimi ni shuhuda,
Case ni kama yako nilikutana nae chuo mkaka tulipendana sana ila yeye badae akashindwa kuendelea na masomo akawa anapiga tu kazi, mimi niliendelea nikamaliza chuo sikuwahi kumkatia tamaa kumpenda Hadi namaliza chuo, Mungu ni mwema nikapata nafasi ya kuendelea na masomo chuo hicho hicho degree ya pili, nikiwa mwaka wa kwanza tu naendea wa pili na WA mwisho nilisafiri kwenda mkoani nyumbani kwetu niliporudi akaniita akanambia hawezi oa mwanamke aliemzidi chochote either elimu Wala pesa Wala cheo.

Mimi nilimuomba sana na kumsihi hamna tatizo tuendelee tuu mi sina shida na hilo, akakataa katakata na kunambia kuwa ashaanzisha mahusiano na Binti mwingine(ni ka single mother Fulani hivi ambaye tena nasali nae kanisa moja) anasema huyo ndo anajua maisha ni Nini kwasababu ameshazaa anajua ugumu wa maisha na anajua kujali na sio mimi, na Kuna Binti mwingine tena ana mimba yake, sijui umeelewa? Me ikabidi ninyooshe mikono juu nimwache ila iliniuma sana maana sikuwa na lengo lolote Baya baadae labda kwasababu ya elimu yangu hapana.

Baada ya muda mfupi alinitafuta tena akanambia turudiane tutimize malengo yetu mimi nilikataa kwakweli nikaona atanisumbua tu. So hayo mambo ni kwa wote sio wanawake tu.
 
Vp mama umeolewa saiv?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…