Wanawake hawapendi ndoa

Nakubaliana na wew mleta mada.

Hii ni kutokana na nilipomskia hivi karibuni mmoja wa mabinti wa maeneo Fulani ya uswazi akisimulia shoga zake wawili aliokuwa ameketi nao wakipga soga ya kwamba ndoa atakayoingia hv karibun yeye binafc amepanga kukaa na huyo mumewe mtarajiwa ndani ya miezi mi3 pekee na sio zaid ya hapo, baada ya hapo atarudi nyumbn kwaooo...[emoji848]

Kutokana na maelezo ya dada yule sabab iliyomfanya aolewe na Jamaa huyo maskini ya Mungu, ni ili aweze tu kumtetemesha/kumringishia aliyekua bwana wake wa hapo awali ( ex wake )...

Kusema ukweli kwa maneno Yale niliyomskia akizungumza yule dada yaliniumiza sna nikavuta picha huyo Jamaa wa watu huko alipo anajua kapata mke wa kujenga nae familia kumbe nyuma ya pazia m/mke huyu atageuka kuwa hasara tupu kwake...

Nashauri tu wanaume tusioe kwa mihemko mwsho wa cku itatukosti...
 
Kuna mtoto mmoja wa kisimbe simbe
Nilimpenda sana , mzuri sana sema mswahili
Kasoma ana Elimu nzuri ila ndo hivo.
Ishu za ndoa hataki kusikia
Nkasema sawa.
Baadae kazi yangu aliipenda.
Demu mjinga mjinga muache kabla hajakuacha.
Utaumia sana Qumamaque
 
Wana mbinu za kiwaki sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…