Wanawake hawapendi ndoa

Pamoja
 
Wanazingua sana hawa
 
Njoo getto unitibu
Hapana sinaga hizo. Sina utaratibu wa kuwakuna wanaume wenzangu. Bado nina Imani wanawake wananitosheleza vizuri kabisa. Unisamehe Sana sihitaji ujinga wa ushoga

Nina kinyaa Sana na wanaume wenzangu. Sikulelewa hivyo.

Hiyo sehemu umepewa kuendea haja kubwa hukupewa kustareheshwa. Itumie vizuri.
 
Hapana sinaga hizo. Sina utaratibu wa kuwakuna wanaume wenzangu. Bado nina Imani wanawake wananitosheleza vizuri kabisa. Unisamehe Sana sihitaji ujinga wa ushoga

Nina kinyaa Sana na wanaume wenzangu. Sikulelewa hivyo.
Mimi nimekuambia njoo getto unitibu wewe unawaza ushoga. Kichwa umefungia kabatini ?
 
Wanakula ujana labda wakifika 60+ watahitaji.
 
Kuna tofauti kubwa ya Mwanamke na mke so wanawake wapo wengi Sana ila kumpata mke eh mpaka bwana Yesu ahusike
 
Ili wayapate hayo uliyosema wanayoyapenda, basi chanzo chake ni ndoa.

Yaani kwamba wanapenda kushiba lakini hawapendi chakula. Au wanapenda makande lakini hawapendi ugali na maharagwe.

Kama ndivyo, basi, hii nchi ngumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…