Wanawake haya "mawigi" yanatakiwa yakae siku ngapi kichwani?

Sidhani kama kuna mwanaume mwenye akili timamu anapenda mkewe avae haya , huwa mnaforce tu.

Binafsi nilishampiga marufuku wife ole wake ajaribu kuyavaa.

Halafu mbona huwa hampendezi au sisi vipofu?
Mkuu mimi sikuishia kwenye kupiga marufuku tu bali nilimpeleka kwa mwanasheria akasign mkataba wakutokuvaa wigi maisha yake yote tutakayoishi pamoja kisha akala na kiapo juu............
 
Kuna wengine yamekaa kichwaani mpaka yameanza kuota mengine yaani unaona mizizi kabisa inakita kwenye ngozi

Kwanza hiyo harufu kwao ni rutuba tosha maana hao bacteria wanazaliwa hapo unaweza ukafanya utafiti na usijue chochote hapo
 
Ina maana wanawake wote hao umeona mwenye rangi nyekundu tu??
Da vinci sio mwanamke, jana aliweka uzi wa kukanusha kuwa sio mwanamke, japo baadae mods walifanya yao kwenye huo uzi. Alisema yeye anatumia hiyo ID na mwanamke hivyo kuna wakati huyo mwanamke anaweka post zake kwa mfano ile ya kutafuta kazi.
 
Dunia ikisimama na mie nitag nishuke nishajichokea
 
Mkuu mimi sikuishia kwenye kupiga marufuku tu bali nilimpeleka kwa mwanasheria akasign mkataba wakutokuvaa wigi maisha yake yote tutakayoishi pamoja kisha akala na kiapo juu............
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I am yet to meet a man who has anything positive to say about wigs πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

Bado sana kukutana na mwanamme yeyote aliesifia mawigi
Inaelekea hawayapendi ila kutuambia live wanashindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…