Wanawake hebu kuweni makini na ikulu zenu kama kukiwa na harufu inakata mzuka wote

Naanzaje kukucheka? Ni jambo zuri unapaswa kupongezwa umefanya maamuzi sahihi. Hallelujah!
Mkuu demi embu nisaidie kujibu hili swali kama una jibu lake au ushawahi sikia maana nimejiuliza mara nyingi


Hivi hao wadada wakitoa harufu wanajijua au inakuwa kama vile mtu anaye nuka mdomo hajijui ila anaowaongelesha wanajua


Maana unakutana na manzi harufu inayotoka sio mchezo ni zaidi ya mzoga in short haivumiliki kabisa unajiuliza hivi naiskia mimi au hadi yeye anaiskia

Maana unamuona yupo kawaida kama vile hamna kitu chochote
 
Gonjwa La zinaa..nae hajichunguzi.na kama umeweza kumuokota road akaubali umlale basi hata wengine pia wanajiokotea.
So possibly ana maambukizi
Hii sikupingi mwanangu, nishawahi kamata chura mmoja kwa mwendokasi asubuhi nikamseti jioni nikaenda kumvua, nilijiona mjanja kweli kesho yake nikaanza dozi ya gono, tuwe lakini vijana na kondomu ni muhimu.
 
Utoto raha sana. Ila ukija kukua utaachana na hizi ndoto na stories za kijinga. Utawaza namna ya kutafuta pesa. Kwa sasa hapo kwa shemeji yako unawaza kuanzisha uzi za kipumbavu kama hizi. Subiri ije itokee mpewe talaka na shemeji yako.
 
Kutembea kote na paja laini lazima jasho lijikusanye kwa bibi, ungempa muda ajiswafi ndio ule cha ajabu hata romance usikute alitoka lamba lolo la mtu nawe ukafakamia
 
Tatizo sio kuoga. Issue ni UTI na wengi hawazingatii kupona kabisa. Hawatulii, wanabadilisha nyama kwa siku hata mara mbili. Kutumia condom ni mpaka mwanaume aamue yeye, so per day wanapokea bacteria wa aina tofauti tofauti kwenye Ikulu zao. Unategemea harufu isiwepo?

Kwenye swala la usafi nawatetea, Ke ni wasafi kuliko sisi Me, ila wasichojua sehem zao za siri haziruhusu kuchakatwa na watu tofauti tofauti, lazima zireact negative.
 
Ukinuka unajijua. Hata kama ni uvundo wa mikojo unasikia kabisa.

Mkuu, hata ukinuka mdomo lazima ujijue, mimi nadhani ambao hawajijui pua zao zitakuwa na matatizo.
 
Wanawake kawaida sehemu zao za siri ziko kwa ndani hivi,halafu ziko wazi kwa hiyo ni rahisi sana kutengeneza ukungu,unaoweza kuleta uvundo. Hasa akitembea umbali fulani au akifanya kazi kwa muda fulani au hata kukaa tu bila kujisafisha kwa muda hata wa masaa ma4,5 hivi.
Alichokosea yeye au wote alivyofika tu kabla hujamgusa angeomba kwenda bafuni kuoga au hata kujisafisha vizuri tu.
Kuanzia leo hata wewe ukitaka ufaidi ukifika tu mwambie bafu hilo hapo nenda ndio utajua huyo mwanamke ni msafi kwa nje tu
 
Mmmh kama katoka kupelekewa moto ndio harufu kali kiasi kile mkuu !? Na nini kinasababisha mbona nijuavyo sperms hazina harufu
Spam hazina nini????? Ile harufu ya spam mimi mbona naweza tapika?....
Kingine acha kujibebea kila mwanamke ndo maana umekutwa na visanga, na bado.
 
Kuna mdau alishauri vijana muwe mnatembea na udi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…