Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha
Yaani wanaume mnachekesha jamaani..... Alivyokuwa anakuja kwako mkiwa wachumba si ulikuwa waenda mnunulia chakula eee!!! Pambana na ndoa yako,wengine lita tano twatumia miezi miwili na wiki moja na siku tatu!!
Ni kweli kabisa....wanawake wengi wanajisifu wanajua kupika lakini wanachofanya ni kurundika mafuta kwenye mboga.....mimi nilikishaa chaga kula nyumbani...nakula mara chache sana...hata hivyo mke wangu huwa haingii jikoni kabisa....nilishamshindwaga ..yeye na wadogo zake wote ni hivyohivyo...hapa nawasema mahouse girls
Tatizo lenu mnaoa sura zikiwakifu mnakuja kulalamika JF tena mnatumia lugha mbovu utafikiri mlilazimishwa kuoa, ndio mpambane na hali zenu kuna aliyewachagulia?Kama ndio utetezi wako, sijatukana mtu hapa.
Nawambia ukweli baadhi ya wanawake wanaotuletea magonjwa kizembe.
Kama unawatetea endelea kuwatetea na uunde chama cha kutetea wanawake wanaopika vibaya.
Umeruhusu povu halafu linakuwasha soma heading hapoAcha kuleta weak arguments, wapi nimesema wanawake wote?
We kubali kataa hili ni tatizo jipya limejitokeza kama kwako halipo basi kwa baadhi ya ndugu zako lipo.
Ukinuna sawa ila huo ndio ukweli, kuna wanawake wengine ni hovyo mno.
Sawa Mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sitamuacha mke wangu kwa sabab ya mafuta kwenye chakula, ila hali hii inakwaza sana mkuu.
Ngoja nipambane na hali yangu.
Najua hapa haisaidii lolote maana mke wangu hayupo humu ila nimeandika wanawake wenye tabia kama hii waache.Asa sie watu wa pwan ambao kila kitu naz waume zetu wasemeje... Sema na mke wako maandiko hapa hayakusaidii kitu
Wanawake wengi,n wabishi eti,Huwa nawaambia mkipika unaweka nazi usiweke mafuta au mafuta yawe kidogo sana kwa mbali, asilimia kubwa ya mogonjwa ya moyo ni kula mafuta mengi sana yenye cholestrol
Wewe na mtoa mada mnaumwa ugonjwa unoafananaTena Yale mamwanamke manene manene ndo yanapenda kupika na Mafuta meengi! Yanajifanya yamepika chakula cha gharama, yanakuwaga yananuka kuanzia mdomoni mpaka kila sehemu! mpaka roho imenichafuka khaa!
Amwambie wakati mkewe ndio breadwinner hajitaki! Ndio maana mwenzio anaishia kupumulia humu..Mkeo umeogopa kumwambia unakuja kutuambia sie? Utakuwa hujatatua tatizo na leo ukirudi utakutana na yale yale. Mwambie nini unapenda, simple!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amwambie wakati mkewe ndio breadwinner hajitaki! Ndio maana mwenzio anaishia kupumulia humu..
Pole sana kwa kupata mwanamke asiyejua kupika, ila ingekuwa busara kama ungemuelimisha huko huko nyumbani kuliko kuja kumuanika huku. Nimejaribu kufikiria hicho kitambi chako kitakuwa cha aina gani kitambi mchongoko, mviringo au kile cha dizain ya utapia mlo [emoji28][emoji28]